Saturday, 31 August 2013
Friday, 30 August 2013
FRANCIS CHEKA ATWAA UBINGWA WA DUNIA WA WBU
Mgeni
Rasmi katika Mpambano wa Kimataifa wa kuwani Mkanda wa Ubingwa wa Dunia
wa WBU,kati ya
FAHAMU YALIYOJIRI KATIKA UZINDUZI WA FILAMU YA LULU "FOOLISH AGE"
lulu akiwasili ukumbini tayari kwa uzinduzi
HII INAMAANISHA NO BEEF KATI YA MADAM RITA NA NEY WA MITEGO
Ni mengi umeyasikia wakati huu ikiwa ni siku kadhaa tu baada ya kutoa single ambayo amechana
KICHWA CHA BINADAMU CHAPATIKANA KATIKA OFISI YA MKUU WA POLISI
Polisi nchini Kenya wanachunguza
kisa ambacho kichwa cha mtu aliyeuawa kilipatikana kimewekwa
CHEKI PICHA JINSI UZINDUZI WA VIDEO (NUMBRE ONE) MPYA YA DIAMOND PLATNUM ILIVYOKUA
Tuesday, 27 August 2013
Sunday, 25 August 2013
BBA The Chase: CHEKI YALIYOJIRI KATIKA FAINALI ZA BIG BROTHER AFRICA..NAMIBIA YANG'ARA
Baada ya Mashindano ya BBA kukita kwa siku 91 leo hi indo ilikua siku ya mwisho kwa shindano hilo.. Shindano hilo lililokua la kipekee katika siku ya fainali baaada ya washiriki wote kutokea na wengi wakionyesha nyuso za furaha......
BBA The Final
Saturday, 24 August 2013
CHEKI MAYOR WA TORONTO "ROB FORD" ALIVYOMSHINDA "HULK HOGAN" KATIKA MIELEKA YA MKONO KWA MKONO
Mayor wa Toronto "Rob Ford" amemshinda mwana mieleka wa zamani "Hulk Hogan" katika mieleka ya mkono kwa mkono kwenye uzinduzi wa ''City Annual pop culture"
Meya wa Toronto(kushoto) na Hulk hogan (kulia)
Meya wa Toronto(kushoto) na Hulk hogan (kulia)
NDAMA WA AJABU AZALIWA HUKO NEW ZEALAND, ANA MIGUU 8, MIILI 2, MASIKIO 4 NA KICHWA KIMOJA
Ndama wa ajabu aliyezaliwa na badae alikufa
TAZAMA PICHA YA KWANZA YA MTOTO(NORTH WEST) WA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN
Rapper Kanye West ameonyesha picha ya kwanza ya mwanao katika kipindi cha Tv cha bibi yake na mtoto huyo"Kris Jenner"
kanye West na Kim kardashian wameonyesha picha hizo za binti yao mwenye umri wa miezi miwili,
kanye West na Kim kardashian wameonyesha picha hizo za binti yao mwenye umri wa miezi miwili,
Friday, 23 August 2013
FAHAMU KAULI YA MADAM RITA KUHUSU NEY WA MITEGO
Thursday, 22 August 2013
GWIJI WA MUZIKI WA DANSI "MUHIDIN MAALIMU NGURUMO" AMETANGAZA RASMI KUSTAAFU MUZIKI
Mzee Ngurumo(katikati)
Mwanamuziki mkongwe wa bendi ya Msondo Ngoma Mzee Muhidin Maalim Gurumo amestaafu
Tuesday, 20 August 2013
NINI KINAENDELEA HAPA.... JOKATE NA LUCCI
Baada ya kushinda katika Tuzo za Under 30 Youth zilizofanyika jumamosi iliyopita Jokate Mwengelo amepost hizi picha...
Watu wazidi kujiuliza kuna nini kinaendelea... ngoja tusubiri.. cheki na hii pia
Watu wazidi kujiuliza kuna nini kinaendelea... ngoja tusubiri.. cheki na hii pia
PICHA OFFICIAL ZA MTOTO WA PRINCE WILLIAM (PRINCE GEORGE) ZATOLEWA
Familia ya kifalme imetoa picha official za kwanza zikimwonesha mtoto wao "Prince George". picha hizo za William, Kate na mwanao "Prince George" zilipigwa na The Duchess of Cambrige"s father "Michael Middleton" Cheki nazo hapa chini
Kate, William na Prince George.... pamoja na Mbwa Wao
Kate, William na Prince George.... pamoja na Mbwa Wao
Sunday, 18 August 2013
BBA The Chase: "BIMP" NA "ANGELO" WAAGA MASHINDANO NA CHEKI JINSI AFRICA ILIVYOPIGA KURA
Washiriki wawili katika shindano la Big Brother Africa "Bimp (Ethopia)" na Angelo (South Africa) usiku wa leo wameyaaga mashindano hayo na kuacha wenzao (washiriki watano) wakiwania dola za kimarekani laki 3 katika fainali itakoyofanyika siku ya jumapili ijayo.
Bimp amekua mshiriki wa 21 kutoka na kufuatiwa na angelo ambao wote kwa pamoja walionekana
Bimp amekua mshiriki wa 21 kutoka na kufuatiwa na angelo ambao wote kwa pamoja walionekana
CHRIS BROWN AHUKUMIWA MASAA 1000 KUFANYA KAZI ZA KIJAMII
Star wa pop kutoka nchini marekani "Chris Brown"(24) amehukumiwa masaa 1000 kufanya kazi za kijamii. hukumu hiyo imekuja baada ya kuonekana kuwa na mapungufu mengi katika probation aliyokua nayo.
Chris Brown na Attorney Wake katika mahakama ya Los Angeles
Hukumu hiyo ilitolewa na jaji mkuu wa los angeles "James Brandlin"ambaye alisema Chris
Chris Brown na Attorney Wake katika mahakama ya Los Angeles
Hukumu hiyo ilitolewa na jaji mkuu wa los angeles "James Brandlin"ambaye alisema Chris
Saturday, 17 August 2013
FAHAMU MCHEZAJI ALIYEFUNGA BAO LA KWANZA KATIKA MSIMU HUU WA LIGI KUU YA ENGLAND
Ligi kuu barani ulaya yenye mashabiki wengi duniani imeanza rasmi leo ambapo katika mechi ya kwanza liverpool walikua Anfield wakiikaribisha timu ya stock city.
Daniel Sturridge ndiye mchezaji wa kwanza kufunga bao la kwanza katika msimu huu wa ligi
Daniel Sturridge ndiye mchezaji wa kwanza kufunga bao la kwanza katika msimu huu wa ligi
Friday, 16 August 2013
LULU KUZINDUA FILAMU YAKE MPYA AGOSTI 30
Baada ya kimya kirefu na misukosuko ya maisha, Mwanadada Elizabeth Michael "Lulu" ametangaza kuachia filamu yake mpya agosti 30 na filamu itaitwa "Foolish Age" checki na full data hapa chini
HATIMAYE MRISHO NGASA AMETANGAZWA KUA MCHEZAJI HALALI WA YANGA
Mchezaji Mrisho Khalfan Ngasa ambaye usajili wake ulikua na utata baada ya kuonekana kusajiliwa na timu mbili zinazoshiriki ligi kuu.. Usajili wa Ngassa ulileta utata baada ya kuonekana kasajiliwa na timu ya Yanga na Simba.. Leo shirikisho la soka Tanzania "TFF" imemtangaza mchezaji huyo kua ni mchezaji halali wa timu ya yanga.
Mbali na hayo pia mchezaji huyo ambae aliichezea simba msimu uliopita ametakiwa kulipa million
Mbali na hayo pia mchezaji huyo ambae aliichezea simba msimu uliopita ametakiwa kulipa million
Thursday, 15 August 2013
PICHA 5 UTENGENEZAJI WA VIDEO YA "BILA KUKUNJA GOTI"
Wasanii maarufu AY na Mwana FA ambao wanafanya vizuri katika gemu ya muziki Tanzania na Duniani kote, wametoa picha zinazoonyesha utengenezaji wa video ya ngoma yao mpya waliomshirikisha msanii kutoka Nigeria "J Martins", picha zinazoensha video itakua next level.. cheki nazo hapa
AY, J Martains na Mwana FA
AY, J Martains na Mwana FA
CHEKI REACTIONS ZA MASTAA BAADA YA KENDRICK LAMAR KUSEMA "HE IS THE KING OF NEW YORK"
Baada ya msanii kutoka obama land "Kendrick Lamar" kudai kwamba "he is the king of new york", wasanii wenzake kutoka pande hizo waonyesha kuguswa kwao na hayo maneno na kuonesha ni jinsi gani walivopokea maneno hayo.. Kendrick aliyasema hayo katika moja ya verse zake katika ngoma aliyoshirikiswha na Big sean "control"
Cheki na tweets za mastaa kuhusiana na inshu hiyo hapa chini
Cheki na tweets za mastaa kuhusiana na inshu hiyo hapa chini
Tuesday, 13 August 2013
MEEK MILL AZUIA UGOMVI WA 50 CENT
Kumekuopo na beef ya siku nyingi kati ya crew ya meek mill na 50 cent lakini bifu hiyo inaonekana imekuja
CHIDI BENZ ATANGAZA KUACHANA NA MADAWA YA KULEVYA
Mkali wa Hip Hop kutoka ilala Lafamilia "Chidi Benz" leo hii katika kipindi cha XXL kinachoendeshwa na clouds Fm ametangaza kuacha kutumia madawa ya kulevya, vilevi na ganja.. Chidi benz ameyasema hayo wakati alikua akitambulisha ngoma yake mpya ambayo alisema haina jina na kutaka watanzania kumsaidia kulipatia jina wimbo huo na pia Chidy alisema ni mda mrefu sasa toka aanze kutumia madawa ya kulevya, vilevi na ganja ambavyo vilikua vinamjengea sana hasira.
uamuzi huo umekuja baada ya kuona vilevi hivyo vimeanza kumzidi uwezo na alisaidiwa na mshkaji wake wa
uamuzi huo umekuja baada ya kuona vilevi hivyo vimeanza kumzidi uwezo na alisaidiwa na mshkaji wake wa
BAADA YA KUTOKA NA "SALAM ZAO" NEY WA MITEGO AANZA KUPOKEA SIMU ZA VITISHO
Mkali kunako gemu ya muziki wa bongo fleva "Ney wa Mitego" amedai ameanza kupokea vitisho mara baada ya kuachia ngoma yake mpya inayoitwa " Salam Zao", katika baadhi ya mistari ya wimbo huo Ney amesikika akisema "nani nimtume kuzimu, afikishe salam kwa kanumba na ngwea awaambie yalotokea, kwenye misiba yao kuna watu wamepiga ela na kusema kua anawajua kwa majina wakizingua atawataja"
Ney wa Mitego(True Boy)
juzi katika akaunti yake ya instagram Ney alitoa picha zikionesha Sms alizokua akitumiwa na watu hao na kusema kua hizo ni baadhi ya Sms na atazitoa zingine baadae . cheki na sms hapo chini
Ney wa Mitego(True Boy)
juzi katika akaunti yake ya instagram Ney alitoa picha zikionesha Sms alizokua akitumiwa na watu hao na kusema kua hizo ni baadhi ya Sms na atazitoa zingine baadae . cheki na sms hapo chini
ROBERT MUGABE AMWAMBIA MPINZANI WAKE MORGAN TSVANGIRAI AKAJINYONGE
Rais wa zimbabwe Robert Mugabe amemwambia mpinzani wake Morgan Tsvangirai akajinyonge.. Mugabe alisema kua hawezi kurudi nyuma baada ya kushinda matokeo ya uchaguzi nchini humo na pia Rais huyo wa zimbabwe aliongezea kua wale wote wanaodai uchaguzi haukua wa haki waende wakajinyonge.
mapema katika hotuba yake mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu nchini humo july 31, Mr Mugabe
mapema katika hotuba yake mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu nchini humo july 31, Mr Mugabe
Monday, 12 August 2013
MTANZANIA "FEZA KESSY" AYAAGA MASHINDANO YA BBA
Mshiriki pekee kutoka Tanzania katika shindano la BBA "FEZA KESSY"usiku huu wa ameyaaga mashindano hayo na kuzima matumaini na ndoto za watanzania katika mashindano hayo baada ya aliekua mshirki mwenzake kutoka Tanzania "Army Nando" kuondolewa katika mashindano hayo kwa kukuika sheria za mchezo huo.
FEZA amekua mshiriki wa 20 kutoka katika
shindano hilo na Mara baada ya kutajwa kua ndo
Sunday, 11 August 2013
CHEKI YALIYOJIRI ARUSHA BAADA YA COMMANDO JIDE KUSHUKA NA TEAM YAKE.
Mwanadada mkongwe kunako gem ya muziki, Lady JD a. k.a Binti machozi na sasa hivi maarufu kwa jina la Anaconda katika sikukuu ya Eid alikua jijini Arusha kuwapagawisha mashabiki zake. Jide alishuka na timu yake nzima akiwemo msaanii mkongwe katika upande wa Hip Hop, "Prof jay".
Saturday, 10 August 2013
GERVINHO AKAMILISHA USAJILI AS ROMA
Winga mshmbuliaji wa ivory coast Gervias Lombe Yao kouassi maarufu kama gervinho amekamilisha uhamisho wa kuichezea AS Roma ya italia.
LAMPARD, MATA NA LUIZ HUENDA WAKAMISS MECHI ZA UFUNGUZI WA LIGI KUU
Wachezaji machachari na tegemezi katika timu ya chelsea " Lampard, Mata na Luiz"huenda wakamiss mechi za mwanzo wa msimu wa ligi kuu ya England, hayo yamesemwa na kocha mkuu wa Timu hiyo ya Bluez.. Jose Mourinho amedai ya kwamba Lampard atakosa mechi hiyo kutokana na kuitwa katika kikosi cha timu ya taifa ya england itakayochuana na scottland jumatano ijayo.. mourinho amedai ya kua mbali na mchezaji huyo kuitwa katika timu yake ya Taifa ila bado anahitaji kufanya mazoezi kutokana na kuwa na mda chache wa mazoezi kipindi cha pre-season kwasababu ya majeruhi
Friday, 9 August 2013
MASHABIKI WAMKIMBILIA DIAMOND AWASAINIE AUTOGRAPH
MADAM RITA ATOA SABABU ZA KUHAMISHIA EBSS TBC 1
Lile shindano la kumsaka mkali wa bongo "Epiq Bongo Star Search' kwa mwaka huu wa 2013 hautorushwa ITV kama ilivyokua kawaida na badala yake litarushwa katika kituo cha TBC 1.
Madam Rita ambaye ni jaji mkuu na mwanzilishi wa shindano hilo ametoa sababu za kuhamisha mashindano hayo kutoka ITV na kuyapeleka TBC 1
Madam Rita ambaye ni jaji mkuu na mwanzilishi wa shindano hilo ametoa sababu za kuhamisha mashindano hayo kutoka ITV na kuyapeleka TBC 1
Thursday, 8 August 2013
COCA BOY "DIAMOND PLATNUMZ" AKIFANYA TANGAZO LA COCA- COLA LEO HII
Hizi ni baadhi ya picha zinazomwonyesha Diamond platnumz akishoot tangazo la la coca-cola hivi leo mara baada ya kutoka sauzi...
PICHA 4 ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA DIAMOND PLATNUMZ AKIWA SOUTH AFRICA
KALA JERMIAH KUTOA NGOMA MPYA AGOSTI 14
Sunday, 4 August 2013
SHEMEJI YETU ONEAL AYAAGA RASMI MASHINDANO YA BBA
mshiriki wa BBA kutoka Botswana "ONEAL" usiku wa kuamkia leo ameeyaaga rasmi mashindano hayo... mshiriki huyo ambaye alikua na uhusiano wa kimapenzi na mshiriki kutoka Tanzania "FEZA" ameaga jumba hilo baada ya kuwa na kura chache ukilinganisha na washiriki wenzake aliokua nao kwenye kikaango.. ONEAL alikua kikaangoni na washiriki wengine wawili ambao ni FEZA pamoja na BIMP kutoka Ethopia
Saturday, 3 August 2013
ARMY NANDO AKIWA LOS ANGELES BAADA YA KUONDOLEWA BBA PAMOJA NA POST YA KWANZA ALIYOANDIKA KWA SHABIKI ZAKE
Mshiriki mtanzania ambaye aliondolewa katika mashindano ya Big Brother Africa wiki iliyopita Army Nando ametimkia los angeles mara baada ya kutoka katika shindano hilo Nando alifanya Interview na Clouds FM, na kusema kua hajutii kilichotokea kwasababu aliishi maisha yake katika jumba hilo... picha hapa chini zinamuonyesha Army Nando akiwa yuko los Angeles Marekani...