Mwanadada mkongwe kunako gem ya muziki, Lady JD a. k.a Binti machozi na sasa hivi maarufu kwa jina la Anaconda katika sikukuu ya Eid alikua jijini Arusha kuwapagawisha mashabiki zake. Jide alishuka na timu yake nzima akiwemo msaanii mkongwe katika upande wa Hip Hop, "Prof jay".
leo aubuhi katika ukurasa wake wa facebook mwanadada ameandika "Arusha raha ndani ya roho " pia Commando jide ameshukuru mashabiki zake wale waliohdhuria na wale ambao hawakuhudhuria katika show hiyo....
cheki na hizi picha hapa chini
Commando jukwani
prof J Kazini
Commando jide na Prof jay wakipagawisha mashabiki
Noma saaaana
Jide akiwa na mashabiki chipukizi(watoto wadogo)
Hawa nao hawakua nyuma
Team Anaconda
0 comments :
Post a Comment