Thursday 14 August 2014

DIAMOND PLATNUMZ AIJIBU TEAM WEMA BAADA YA KUDAI ANAMPOTEZA WEMA...

Baada ya Team wema kuanzisha movement iliyokua na jina #bringbackourwema ikiwa inamshutumu Diamond platnumz kua anampoteza wema..Diamond Platnumz aamua kujibu...Tazama Hapa..

Monday 4 August 2014

NEW AUDIO: KIBAJA MGOSI - NAWAKAZIA

Baada ya kutoka na Ngoma "Amsha Amsha" sasa msanii kutoka Tanga "Kibaja" amekuja na hii hapa..Download na.kusiliza hapa.chini..

Thursday 31 July 2014

MSIKILIZE DIAMOND PLATNUMZ AKIRAP KWENYE BIT YA "SHOW ME" YA KID INK FT CHRIS BROWN..


Diamond platnumz kabla ya kuanza kuimba alikua anafanya muziki kwa njia ya Kurap...Diamond amethibitisha kua ana uwezo wa kurap hadi sasa..msikilize hapo chini anavyoshuka kwenye bit ya wimbo Kid ink ft Chris Brown..

Tuesday 29 July 2014

HIZI NDIO IDADI YA TUNZO ALIZOWAHI KUPATA LADY JAYDEE TOKA AANZE MUZIKI...

Judith wambura a.k.a Lady jay dee ni msanii mkongwe nchini tanzania ambapo yapata miaka zaid ya 10 toka aanze kujihusisha na muziki...

Monday 28 July 2014

HUSSEIN MACHOZI ASHINDWA KUFUNGUKA ISHU YA KUFUKUZWA KENYA KWA TUHUMA ZA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU

Mitandao mbalimbali ya nchini Kenya weekend hii zimeandika stori ya kusikitisha kuhusiana na msanii wa Bongo Flava anayeishi nchini humo,Hussein Machozi

Sunday 27 July 2014

HAWA NDIO BAADHI YA WASHINDI WA TUZO ZA AFRIMMA....

Zinaitwa African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na

Friday 25 July 2014

GAZA : ISRAEL NA HAMAS WASITISHA VITA..

Serikali ya Israel na wapiganaji wa Hamas wamekubaliana kusitisha vita kwa masaa 12 katika eneo la Gaza kutokana na maswala ya kibinidaamu kuanzia leo asubuhi.

DROGBA ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA CHELSEA..

Mchezaji wa zamani wa chelsea Didier Drogba amerejea tena stamford bridge.

LULU MICHAEL ATOA USHAURI KWA WASANII NA MASHABIKI BAADA YA KUSIKILIZA WIMBO MPYA WA ALI KIBA...

Mwanadada muigizaji Elizabeth Michael ametoa ushauri huu kwa wasanii pamoja na mashabiki wao baada ya kusikia wimbo mpya wa Ali kiba- mwana Dar.... Lulu aliandika hivi kwenye akaunti yake ya instagram...

NEW AUDIO: DULLY SYKES - TOGOLA

Ipakue hapa chini....

HIZI NDIO SINGLE MBILI MPYA ZA ALIKIBA ..


Najua mashabiki walikua wanaisubiria sana hiipost ambapo good news zaidi ni