Friday 25 July 2014

HIZI NDIO SINGLE MBILI MPYA ZA ALIKIBA ..


Najua mashabiki walikua wanaisubiria sana hiipost ambapo good news zaidi ni
kwamba Ali Kiba ameachia single mbili mpya kwa wakati mmoja na moja inaitwa “Mwana” na nyingine “Kimasomaso”.

Kuhusu hizi nyimbo mbili mpya, unaweza
kuzisikiliza kwa kudownload bure na kwa njia rahisi kupitia hapa kwenye hizi link hapa chini www.mkito.com Kudownload ni rahisi, ukibonyeza download utaletewa sehemu ndogo ya kuchagua kuingia kwa
facebook au google, chagua moja wapo alafu ujichukulie wimbo wako

0 comments :

Post a Comment