Wednesday, 6 November 2013

HIVI NDIVYO JACKLINE WOLPER ALIVYODHALILISHWA FACEBOOK.. AOMBA MASHABIKI KUA NA HURUMA



Akionyesha kusikitishwa na kile kinachoendelea facebook, leo hii muigizaji bongo movie,Jackline Walper ameanika maongezi yaliyokuwa yakiendelea katika akaunti ya Walper fake kupitia facebook ikionyesha chati iliyoonekana Walper akiomba sh 20,000 kwa ajili ya kununua umeme mara baada ya kukatiwa na umeme huku akifanya kazi zake kwenye computer.Tazama hapa chini..


Walper aliweka maongezi hayo yakiambatana na maneno haya kwa chini

wolpergambemashabiki zangu haya ndo mambo ya fc bk dah hvii kweli ndo wanavyonidhalilisha plz nisaidien ata kuamdika huko kwa fc bk zenu situmii jina lolote zaidi ta wolper gambe real .siyoo vzuri jamani muwe na roho ya huruma kdogo dah
 djfetty.blogspot.com

1 comments :

Unknown said...

Dahhh, kweli wanavyofanya siyo vizuri, coz huyo bwege aliyefungu akaunt hiyo na kuitumia hata mimi kanitumia msg hiyo hiyo, cyo poa watu kuweni wastaarabu...

Post a Comment