Thursday, 10 October 2013

RAY C APOST PICHA ZA MAPAJA YAKE... MASHABIKI WAJA JUU...


Ni siku kadhaa tangu Msanii Ray C kusema kuwa ameachana na dawa za kulevya na kua amebatizwa na kua mtu mwema ambaye ameachana na vitendo vya kimaovu, Lakini msanii huyo alipost Picha ya Mapaja yake katika mtandao wa kijamii wa Instagram siku tatu zilizopita ambayo ilipelekea mashabiki wake kuchukizwa na picha ya mwana dada huyo..Tazama picha hiyo na comments hapa chini..rr

0 comments :

Post a Comment