Thursday, 10 October 2013
PICHA :TAZAMA MWANAMKE HUYU ALIVYOFUNGWA KUFULI ILI AWE MWAMINIFU
Mwanaume mmoja nchini mexico katika hali isiyo ya kawaida amemlazimisha mpenzi wake wa kike kuvaa kufuli kwenye suruali yake ili asipige mechi za ugenini(awe mwaminifu)..cheki picha na story nzima hapa..
Mwanamke huyo (miaka 25) ambaye hakujulikana kwa haraka alienda katika mamlaka husika huko veracruz na kusema ya kwamba ana maumivu makali baada ya kukosa kuoga kwa masaa kadhaa..
aliwaambia kwa miaka sasa mpenzi wake huyo(miaka 40) amekua akimfunga na kufuli na alikua akiogopa kuikata..
Mamlaka hiyo ilimkamata mpenzi wake huyo ambaye alidai kuhusika na tukio hilo na baadae kuwapa funguo maaskari ili waweze kumfungua huyo mwanamke..CNN waliripoti kua,
Polisi walishangaa baada ya huyo mwanamke kukata kumfungulia mashtaka mwanaume wake huyo ambaye masaa kadhaa baadae aliachiwa huru na kuapa kutomfunga mwanamke wake huyo tena...
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment