Hii ni kampeni ya Rose Ndauka
ambayo kaipa jina la Ng’arisha Tanzania inayohamasisha kuweka jiji la Dar es
salaam katika hali ya usafi na kupendeza ambapo kampeni hii inahusisha kufagia
baadhi ya mitaa katika manispaa ILALA ili kuzoa taka na kuzitupa maeneo
husika.
Dotto aingilia sakata la ugali dagaa amsifia Rayvanny
49 minutes ago