
Bila Shaka
Watu wengi Mnahamu sana Ya kusikia Ujio wangu Mpya na Pia utakuwa na Maswali
Mengi sana Kichwani kwako kuwa Hivi sasa Nimezungumzia nini, Kama Ilivyo
kawaida ya Muziki wangu ni Kupigania na Kutetea Haki za Wanyonge,
K.K.K ni
wimbo ambao pia Unatetea haki za Walio wanyonge Wanao hangaika na Kuelemewa na
Mizigo ya Shida. Pia kama ilivyokuwa Katika Wimbo wangu wa 2030 uliweza
kumsikia Mtoto Mdogo Story na ukaanza kumfahamu na Kumjua baada ya Ngoma ile
kutoka, Sasa na Hii K.K.K utaweza Kumsikia Kijana mwingine Mpya ...
Nia na
Lengo ni Kutoa Msaada kwa wasanii Chipukizi ambao wanafanya Vizuri.
Kazi nzima
ya wimbo Huu imefanyika Pale Tongwe Rec, Kama ilivyo kawaida yangu, J3 utaweza
Kuisikia katika Media Nyingi za Hapa Bongo pamoja na Mikoani Maana Ndio siku
Maalum ya Kuachia Ngoma hii iliyo subiriwa kwa Muda Mrefu, Naomba Muipokee na
Kusapoti Harakati.
0 comments :
Post a Comment