Chini ya producer Bob
Maneck, Jux amefanikiwa kuweka hisia zake kwenye beat na kuzungumza jinsi
ambavyo anampenda na jinsi alivyokuwa akijiskia kuwa mbali na mpenzi wake Jacky
Cliff mara baada ya madai kuwa alikuwa amekamatwa nchini China
Jux amethibitisha
kuwa wimbo huo ni true story inayohusu maisha yake na uhusuniano wake Na Jackie
Cliff, ndio maana katika wimbo huu anamuimbia na kumueleza kuwa atasubiri,
asilie, asikate tamaa yeye atasubiri ingawa anajua sio mapema lakini atasubiri
na atamuona tena.
usikilize wimbo huo
hapa chini
0 comments :
Post a Comment