Thursday 24 July 2014

HIZI NDO IDADI YA JEZI ALIZOUZA JAMES RODRIGUEZ NDANI YA SAA MOJA

Muda mfupi baada ya kujiunga na Real Madrid kwa ada ya uhamisho wa paundi millioni 63, mchezaji wa Colombia James
Rodriguez ameweka rekodi katika mauzo ya jezi yake ya Real Madrid. Ripoti za Hispania zinasema Jezi zipatazo 900 za James Rodriguez ziliuzwa ndani ya ndani ya saa moja tangu zilipoingia rasmi sokoni ambapo zimeuzwa kwenye duka la Real Madrid na imeonyesha kiasi gani raia huyu wa Colombia anavyokubalika. James Rodriguez ametua Madrid akitokea AS Monaco huku akiwa ndiye mfungaji bora wa Kombe la Dunia nchini Brazil 2014 baada ya kutokana na magoli 6 aliyofunga

0 comments :

Post a Comment