Mchezaji wa zamani wa chelsea Didier Drogba amerejea tena stamford bridge.
Drogba ambaye alikua akiichezea timu ya Galatasary ya uturuki amesaini mkataba wa mwaka mmoja na Timu yake ya zamani ya Chelsea..
Mourinho amesema anafuraha kumuona Drogba tena ndani ya stamford bridge...
0 comments :
Post a Comment