Judith wambura a.k.a Lady jay dee ni msanii mkongwe nchini tanzania ambapo yapata miaka zaid ya 10 toka aanze kujihusisha na muziki...
Lady jay dee ni kati ya wasanii wachache wenye kujituma zaidi katika kufanya muziki mzuri ambao unazidi kumueka kwenye chati ya bongo flava...
Pamoja na mafanikio makubwa jide amefanikiwa kupata idadi ya tunzo 30 mpaka sasa... ambapo Tunzo ya 30 aliyopokea kwenye Afrimma...
Lady jaydee aliandika hivi kwenye ukurasa wake wa facebook...
Lady Jaydee
Tuzo yangu ya 30. Asanteni kwa ushirikiano, nimeipokea na ninarudi nayo
nyumbani. Shhhhhh! !!! Kimya Kimya..
0 comments :
Post a Comment