FEZA amekua mshiriki wa 20 kutoka katika
shindano hilo na Mara baada ya kutajwa kua ndo
mshiriki anaeondoka FEZA aliwaaga washiriki wenzake na alivyotoka
katika jumba hilo “IK” alimpokea na swali,
je unampenda Oneal?? FEza bila wasiwasi alijibu, “ndio nampenda” .
Feza ameyaaga mashindano hayo mara baada ya
alikua mchumba wake, mbotswana “Oneal” kuyaaga mashindano hayo wiki jana.
Karibu Nyumbani Dada
1 comments :
dah karibu dada
Post a Comment