Monday, 12 August 2013

MTANZANIA "FEZA KESSY" AYAAGA MASHINDANO YA BBA

Mshiriki pekee kutoka Tanzania katika shindano la BBA "FEZA KESSY"usiku huu wa ameyaaga mashindano hayo na kuzima matumaini na ndoto za watanzania katika mashindano hayo baada ya aliekua mshirki mwenzake kutoka Tanzania "Army Nando" kuondolewa katika mashindano hayo kwa kukuika sheria za mchezo huo.
 http://cdn.dstv.com/originalproductions/article/feza-live_lg_74d1aab9-1a24-4e1d-bbad-f477f8add475_371311203704951.jpg
FEZA amekua mshiriki wa 20 kutoka katika shindano hilo na Mara baada ya kutajwa kua ndo
mshiriki anaeondoka  FEZA aliwaaga washiriki wenzake na alivyotoka katika jumba hilo “IK” alimpokea na  swali, je unampenda Oneal?? FEza bila wasiwasi alijibu, “ndio nampenda” .
Feza ameyaaga mashindano hayo mara baada ya alikua mchumba wake, mbotswana “Oneal” kuyaaga mashindano hayo wiki jana.
Karibu Nyumbani Dada
 

1 comments :

Anonymous said...

dah karibu dada

Post a Comment