Wednesday, 1 January 2014

MATAPELI WAIBUKA UPYA..SASA WAMTUMIA ZITTO KABWE NA KHADIJA KOPPA KUWAPOTOSHA WATU..



 
Leo katika akaunti yake ya facebook , Mh: ZITTO kabwe ameandika ujumbe na kuweka picha jinsi matapeli walivyokuja na njia mpya ya kuwaibia watu kupitia majina ya watu maarufu…MH: Zitto kabwe alianika maneno haya

*****MATAPELI WAIBUKA UPYA -CHUKUA TAHADHARI ********

Narudi tena, Sihusiki na mfuko wa mikopo unaotangazwa kupitia Mitandaoni. Sijaanzisha ZittoKabwe Foundation. Puuzeni watu wanaotangaza mikopo kwa jina langu. Nimejulisha tena vyombo vya dola suala hili ili kukamata matapeli wanaotumia jina langu kuibia Watanzania
.” Kisha aliambatanisha na picha hii..

0 comments :

Post a Comment