Mshiriki mtanzania ambaye aliondolewa katika mashindano ya Big Brother Africa wiki iliyopita Army Nando ametimkia los angeles mara baada ya kutoka katika shindano hilo Nando alifanya Interview na Clouds FM, na kusema kua hajutii kilichotokea kwasababu aliishi maisha yake katika jumba hilo... picha hapa chini zinamuonyesha Army Nando akiwa yuko los Angeles Marekani...



Baadae NANDO alitupia picha hii hapa chini akiwa na FEZA na post ya kwanza katika mtandao wa instagram


1 comments :
holla at u
Post a Comment