mshiriki wa BBA kutoka Botswana "ONEAL" usiku wa kuamkia leo ameeyaaga rasmi mashindano hayo... mshiriki huyo ambaye alikua na uhusiano wa kimapenzi na mshiriki kutoka Tanzania "FEZA" ameaga jumba hilo baada ya kuwa na kura chache ukilinganisha na washiriki wenzake aliokua nao kwenye kikaango.. ONEAL alikua kikaangoni na washiriki wengine wawili ambao ni FEZA pamoja na BIMP kutoka Ethopia

oneal akiwa na IK tayari kwa kuondoka...

Oneal(kushoto) akibadilisha mazungumzo na BIMP(kulia) kipindi hajayaaga mashindano
0 comments :
Post a Comment