Thursday, 8 August 2013

KALA JERMIAH KUTOA NGOMA MPYA AGOSTI 14

Msanii bora wa HIP HOP kwa mwaka 2012/2013 kala jeremiah hii jumatano ya agosti 14 anakuja na ngoma mpya alompa shavu mwanadada mpya katika game ya bongo fleva Mary Lucos... habari kamili hii hapa


                      na hii ndo cover ya ngoma hiyo

0 comments :

Post a Comment