Mayor wa Toronto "Rob Ford" amemshinda mwana mieleka wa zamani "Hulk Hogan" katika mieleka ya mkono kwa mkono kwenye uzinduzi wa ''City Annual pop culture"
Meya wa Toronto(kushoto) na Hulk hogan (kulia)
Meya huyo wa Toronto amemshinda bingwa mara 14 katika wrestling katika ushindani huo...
meya huyo alionekana kushindwa katika sekunde ishirini za mwanzo lakini baadae aliweza kushusha mkono wa HULK chini
Hulk kakubali kushindwa
Hulk Hogan ambaye jina lake kamili ni Terry Bollea alikua Toronto kwa ajili ya kipindi cha maswali na majibu..
Mr Ford alisema kua Hulk Hogan amekua shujaa wake toka kipindi yuko mdogo na akatweet baada ya ushindi huo kwamba "i own this town @ Hulk Hogan..Thanks for being such a great sport"
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment