Baada ya Mashindano ya BBA kukita kwa siku 91 leo hi indo ilikua siku ya mwisho kwa shindano hilo.. Shindano hilo lililokua la kipekee katika siku ya fainali baaada ya washiriki wote kutokea na wengi wakionyesha nyuso za furaha......
BBA The Final
baada ya ushindani wa siku nyingi hatimae washiriki watano ndio waliofanikiwa kuingia fainali ambapo kati yao alikuepo Melvin(Nigeria), Beverly(Nigeria), Cleo (Zambia), Dillish (Namibia) na Elikem(Ghana)...
Fainali hizo zilianza kwa shamra shamra
nyingi ambapo washiriki wote katika
shindano hilo walikua wakiingia wawili wawili.. Sulu aliingia kwa namna ya
kipekee baada ya kupiga show moja hatari iliyowaacha watu midomo wazi baada ya
kuingia na ngoma(Ruby Ruby) aliyoandika
kipindi yuko katika jumba hilo ..
Baadae mda wa huzuni ulifika ambapo tuliona
Bervely akiwa mshiriki wa kwanza kutolewa (kati ya watano), baadae Melvin then
Elikem alifata.
BBA ilivutia zaidi pale walipokuwa wamebaki
madada wawili , Cleo na Dillish (pichani)...Cleo
alichaguliwa kua mshiriki wan ne kutoka
na ikamfungulia njia mwanadada Dillish(Naamibia) kutangazwa mshindi katika
shindano hilo.. Dillish alionekana kutokwa machozi ya furaha na hatimae
kutangazwa kua mshindi wa Shindano hilo kwa mwaka 2013
THE 2013 BBA WINNER"DILLISH (NAMIBIA)"
0 comments :
Post a Comment