Jaji mkuu wa Epiq Bongo Star Search, Rita Paulsen maaarufu kama Madam Rita leo hii katika kipindi XXL(you Heard) cha clouds Fm amefunguka na kusema ya kua hana mpango wa kumshitaki Ney wa Mitego.
Madam Rita ameyasema hayo baada ya kuwepo na uvumi kwamba anampango wa kumfungulia kesi
Msani Ney wa Mitego baada ya Msani huyo kuimba wamba washindi wa shindano(EBSS) hilo hawalipwi pesa zote.
Madam Rita amedai ya kwamba Ney ni msani mzuri na mbunifu na pia ametumia fursa hiyo kuimba wimbo ambao umekua Gumzo.
"He is creative, Big up for him" amesema hana tatizo Ney akiperfom katika shindano hilo na hata akiuimba wimbo huo..
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment