Saturday, 24 August 2013

TAZAMA PICHA YA KWANZA YA MTOTO(NORTH WEST) WA KANYE WEST NA KIM KARDASHIAN

Rapper Kanye West ameonyesha picha ya kwanza ya mwanao katika kipindi cha Tv cha bibi yake na mtoto huyo"Kris Jenner"
Kim Kardashian and Kanye West at a basketball match
kanye West na Kim kardashian wameonyesha picha hizo za binti yao mwenye umri wa miezi miwili,

Kanye West alionyesha picha hizo katika interview na bibi wa mtoto huyo katika kipindi chake cha Fox, pia familia ya kardashian ilipost picha katika account yao ya twitter.
Ni mda mrefu sasa mtoto huyo alikua akifichwa asionekane ukizingatia familia ya kardashian ni familia inayomulikwa na kamera mda mwingi.
 North West
katika  interview hiyo Kanye West alitania na kusema:"I pray she looks like her mother when she's older."
 Host Jenner akajibu: "I think she has Kim's eyes. I think she has your lips. Some days she has your lips, some days she has Kim's lips."

0 comments :

Post a Comment