Tuesday, 13 August 2013

MEEK MILL AZUIA UGOMVI WA 50 CENT

http://t1.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcQxLLdXw9xZ5CwSU977nHBf-TnUobhakct0AI6qfQNk8YpDDoDK
Kumekuopo na beef ya siku nyingi kati ya crew ya meek mill na 50 cent lakini  bifu hiyo inaonekana  imekuja
juu katika wiki chache zilizopita.  Wakati wakiwa kwenye show Atlanta, 50 cent alimuita Meek mill apige naye show lakini mambo punde yalikwenda mrama. Meek mill alivyokua akikaribia kwenye stage na crew yake, 50 cent alimwona Trav, ambaye alikua member wa G-unit na alikua na beef na 50 cent na ndipo Fiddy alipoweka wazi kua Trav, hakualikwa kwenye stage na mda kidogo walianza kusukumana na ndipo meek mill aliingilia kati na kumtuliza 50 cent.

0 comments :

Post a Comment