
Daniel Sturridge ndiye mchezaji wa kwanza kufunga bao la kwanza katika msimu huu wa ligi
kuu...Sturridge alifunga bao hilo katika dakika ya 37 ya mchezo na kumfanya kua mchezaji wa kwanza kufunga bao la kwanza katika msimu huu wa ligi kuu barani humo.
Liverpool walionekana kulishambulia sana lango la wapinzani wao lakini mlinda mlango wa Stock city alikua imara na kuzuia mipira mingi isiingie langoni kwake.Mpaka mechi inaisha Liverpool 1-0 Stock city
0 comments :
Post a Comment