Star wa pop kutoka nchini marekani "Chris Brown"(24) amehukumiwa masaa 1000 kufanya kazi za kijamii. hukumu hiyo imekuja baada ya kuonekana kuwa na mapungufu mengi katika probation aliyokua nayo.
Chris Brown na Attorney Wake katika mahakama ya Los Angeles
Hukumu hiyo ilitolewa na jaji mkuu wa los angeles "James Brandlin"ambaye alisema Chris
amehukumiwa kufanya kazi za kijamii kwa masaa hayo ikiwa ni pamoja na 180 days ambazo tayari alikua ameshaagizwa.
Chris Brown alikutwa na Makosa mwaka 2009 baada ya kumshambulia msanii mwenzake "Rihanna" katika siku ya grammy awards.
Jaji Brandlin ametoa hukumu hiyo na kusema kua Brown atawekwa katika moja ya hizi kazi nne ikiwemo ya kusafisha barabara, kusafisha fukwe, kuondoa Graffiti, na kazi zinzoendeshwa na department ya probation
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment