Washiriki wawili katika shindano la Big Brother Africa "Bimp (Ethopia)" na Angelo (South Africa) usiku wa leo wameyaaga mashindano hayo na kuacha wenzao (washiriki watano) wakiwania dola za kimarekani laki 3 katika fainali itakoyofanyika siku ya jumapili ijayo.
Bimp amekua mshiriki wa 21 kutoka na kufuatiwa na angelo ambao wote kwa pamoja walionekana
kushtuka mara baada ya kuambiwa wanaondoka lakini baadae walikaa sawa na kuonyesha nyuso za furaha. Bimp , Dillish na Angelo ndio waliokua nominated lakini mwanadada Dillish ameponea puchupuchu baada ya kupigiwa kura nyingi za kubaki katika nyumba hiyo..
cheki jinsi Africa ilivyopiga kura
angalia jinsi nchi zilivopiga kura
Angola: Bimp
Botswana: Angelo
Ghana: Dillish
Kenya: Dillish
Ethiopia: Bimp
Malawi: Bimp
Namibia: Dillish
Nigeria: Dillish
South Africa: Angelo
Sierra Leone: Dillish
Tanzania: Bimp
Uganda: Dillish
Zambia: Angelo
Zimbabwe: Dillish
Rest of Africa: Angelo
Total: Dillish = 7, Angelo = 4, Bimp = 4.
(Total: 15 Votes)
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment