Tuesday, 13 August 2013

BAADA YA KUTOKA NA "SALAM ZAO" NEY WA MITEGO AANZA KUPOKEA SIMU ZA VITISHO

Mkali kunako gemu ya muziki wa bongo fleva "Ney wa Mitego" amedai ameanza kupokea vitisho mara baada ya kuachia ngoma yake mpya inayoitwa " Salam Zao", katika baadhi ya mistari ya wimbo huo Ney amesikika akisema "nani nimtume kuzimu, afikishe salam kwa kanumba na ngwea awaambie yalotokea, kwenye misiba yao kuna watu wamepiga ela na kusema kua anawajua kwa majina wakizingua atawataja"
 http://millardayo.com/wp-content/uploads/2013/07/960009_660700250613561_2036015755_n.jpg
                                      Ney wa Mitego(True Boy)
juzi katika akaunti yake ya  instagram Ney alitoa picha zikionesha Sms alizokua akitumiwa na watu hao na kusema kua hizo ni baadhi ya Sms na atazitoa zingine baadae . cheki na sms hapo chini


https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgQejPPX5D0d60Q5690xOCZbs2F4CFSUrVgs2E261dLArBqWO5p-IqFPddGxqZ2C8SaTMQYTZxB-ZcubdPwk7Z7xgcGKFkvULZ_c6gdBNvHrzBaZLL3HlhpU-Uc3Nm2zNvH7XucFkB73So/s640/ney+MSG.JPG
 leo katika kipindi cha XXL kinachoendeshwa na clouds Fm Ney amesema tayari anawajua watu wawili na wakiendelea atawataja

0 comments :

Post a Comment