Tuesday, 27 August 2013

DIAMOND PLATNUM AWAACHIA MASWALI MASHABIKI ZAKE..CHEKI HAPA

 
Sijui niseme nini kiukweli watu wangu wa
nguvu lakini hii yote ni kwaajili yenu
watu wangu wa kweli............!!
29.08.2013 Unajua siku hii inaenda kutokea nini.......???
Kwa upeo wako wa haraka haraka ebu niambie labda unategemea nini....??
Ni swali nakuachia wewe mtu wangu wa kweli,Tiririka uniambie kabla
sijakujuza zaidi au vipi bhanaaaaa.....?????
 

0 comments :

Post a Comment