
lulu akiwasili ukumbini tayari kwa uzinduzi

Hapa anakaribishwa kwa Stage

Elizabeth Michael (Lulu) akiongea na Wageni waalikwa katika uzinduzi wa filamu ya foolish Age iliyofanywa na Proin Promotion Limited

Waigizaji Mbali Mbali wakifatilia filamu ya Lulu

Barnaba akitumbuiza kwa Stage

Wageni waalikwa katika uzinduzi huo

mwenyekiti wa Proin Promotion akizungumza na wageni waalikwa

Muigizaji Filamu JB akizungumza na moja ya wageni wa Proin Promotion

Dude nae alikuepo

Vincent Kigosi "Ray"
0 comments :
Post a Comment