Diamond platnumz kabla ya kuanza kuimba alikua anafanya muziki kwa njia ya Kurap...Diamond amethibitisha kua ana uwezo wa kurap hadi sasa..msikilize hapo chini anavyoshuka kwenye bit ya wimbo Kid ink ft Chris Brown..
Thursday, 31 July 2014
Tuesday, 29 July 2014
HIZI NDIO IDADI YA TUNZO ALIZOWAHI KUPATA LADY JAYDEE TOKA AANZE MUZIKI...
Judith wambura a.k.a Lady jay dee ni msanii mkongwe nchini tanzania ambapo yapata miaka zaid ya 10 toka aanze kujihusisha na muziki...
Monday, 28 July 2014
HUSSEIN MACHOZI ASHINDWA KUFUNGUKA ISHU YA KUFUKUZWA KENYA KWA TUHUMA ZA KUFUMANIWA NA MKE WA MTU
Mitandao mbalimbali ya nchini Kenya weekend hii zimeandika stori ya kusikitisha kuhusiana na msanii wa Bongo Flava anayeishi nchini humo,Hussein Machozi
Sunday, 27 July 2014
HAWA NDIO BAADHI YA WASHINDI WA TUZO ZA AFRIMMA....
Zinaitwa African Muzik Magazine Awards ambapo za mwaka huu 2014 zimetolewa huko Eisemann center Texas Marekani na
Friday, 25 July 2014
GAZA : ISRAEL NA HAMAS WASITISHA VITA..
Serikali ya Israel na wapiganaji wa Hamas wamekubaliana kusitisha vita kwa masaa 12 katika eneo la Gaza kutokana na maswala ya kibinidaamu kuanzia leo asubuhi.
LULU MICHAEL ATOA USHAURI KWA WASANII NA MASHABIKI BAADA YA KUSIKILIZA WIMBO MPYA WA ALI KIBA...
Mwanadada muigizaji Elizabeth Michael ametoa ushauri huu kwa wasanii pamoja na mashabiki wao baada ya kusikia wimbo mpya wa Ali kiba- mwana Dar.... Lulu aliandika hivi kwenye akaunti yake ya instagram...
Thursday, 24 July 2014
MWANAMKE ALIYEHUKUMIWA KIFO NA BADAE KUNUSURIKA AKUTANA NA PAPA...
Mwanamke raia wa Sudan aliyesamehewa adhabu ya kifo baada ya kubadili dini amesafirishwa hadi nchini Italia baada ya
KIJANA HUYU AKUTWA NA MENO 232..ANG'OLEWA KWA KUTUMIA NYUNDO..
Madaktari nchini India wametumia saa 7 kufanikisha upasuaji wa kinywa cha kijana Ashik Gavai mwenye umri wa miaka 17
HIZI NDO IDADI YA JEZI ALIZOUZA JAMES RODRIGUEZ NDANI YA SAA MOJA
Muda mfupi baada ya kujiunga na Real Madrid kwa ada ya uhamisho wa paundi millioni 63, mchezaji wa Colombia James
Wednesday, 23 July 2014
Tuesday, 22 July 2014
DAVIDO ASEMA HAYA BAADA YA KUULIZWA KUHUSU YEYE KUPENDA KUONYESHA MALI ZAKE..
Msanii kutoka Nigeria "David Adeleke" almaarufu kama Davido hupenda kupost picha katika mitandao ya kijamii
ALIKIBA: MIMI SHABIKI WA NYIMBO ZA DIAMOND ; AELEZEA PIA CHANZO CHA BIFU YAO...
Miongoni mwa vitu vilivyokuwa vikisubiriwa kwa hamu na mashabiki wa bongo fleva wiki hii ni pamoja na kusikia
kauli ya Alikiba kuhusu chanzo cha beef kati yake na msanii mwenzake Diamond Platnumz.
FORBES: HII NDIYO ORODHA YA WAIGIZAJI WA KIUME WANAOLIPWA PESA NYINGI HOLLYWOOD
Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya waigizaji wa
kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi. Nao
ni kama wafuatao:
kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi. Nao
ni kama wafuatao:
Monday, 21 July 2014
TAARIFA KUHUSU MIILI YA BINADAMU ILIYOKUTWA ENEO LA BUNJU JIJINI DAR ES SALAAM
Taarifa iliyoanza kusambaa usiku wa July 21 ni
kuhusu Mabaki ya miili ya watu ambao
wanasemekana zaidi ya 100 kukutwa katika msitu
AKAUNTI YA FACEBOOK YA HASHEEM THABEET YAWA VERIFIED...HIKI NDICHO ALICHOKISEMA..
Akaunti ya Facebook ya Mtanzania anayecheza ligi ya kikapu marekani(NBA) , "Hasheem thabeet" imekua verified...
Hasheem aliandika maneno haya baada ya akaunti yake kuwa verified
Hasheem aliandika maneno haya baada ya akaunti yake kuwa verified
DIAMOND PLATNUMZ ATANGAZA DAU LA SH: MIL 1 KWA ATAKAYE FANYA HIVI..
Diamond platnumz ametangaza dau kwa mtu au kundi lolote ambayo itaweza kutoa staili kali kwa ajili ya kutumia katika wimbo wake mpya "Mdogo
HII NDIO RIPOTI MPYA KUHUSU MOHAMED SALAH KURUDI KWAO KUITUMIKIA JESHI...
Ripoti wiki hii zilionyesha kua mchezaji wa chelsea "Mohamed Salah" (22) kuhusishwa na kurudi kwao misri kuitumikia jeshi
DAVIDO AFANYA COLLABO NA RICK ROSS NA MEEK MIL..#MMG
Idadi ya collabo za wasanii wa Afrika, hasa Nigeria na
mastaa wakubwa wa Marekani zinazidi kuongezeka.
Sunday, 20 July 2014
Saturday, 19 July 2014
Friday, 18 July 2014
Thursday, 17 July 2014
Friday, 11 July 2014
FIFA YATANGAZA WATAKAOWANIA TUZO YA MCHEZAJI BORA..
Fifa imetangaza orodha ya majina 10 watakaowania tuzo ya mchezaji bora katika michuano ya Kombe la Dunia - 2014 Golden Ball.
Monday, 7 July 2014
TAZAMA VIDEO MBILI ALIZOTOA DIAMOND PLATNUMZ..
July 07 ni siku ambayo Mama mzazi wa Diamond Platnumz anaadhimisha siku yake ya kuzaliwa na Diamond Platnumz aliahidi kutoa video zake mbili kama zawadi kwa mama yake ambazo zote kafanyia nje ya nchi.
Friday, 4 July 2014
MUGABE AWASHUKIA TENA WAZUNGU..ATAKA WAKULIMA WAZUNGU KUONDOKA...
Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe amewataka wakulima wazungu waliosalia nchini humo kutoa mashamba hayo kwa watu weusi.