Monday, 21 July 2014

HIKI NDICHO ALICHOKIFANYA HEMED PHD KWA LADY NAA BAADA YA FILAMU KUMALIZIKA

Inshu iliyofika mezani kwa mhariri Soudy Brown
July 21 ni kuhusu madai yaliyotolewa na Lady Naa
juu ya kitu alichosema si kizuri alichofanyiwa na
Hemed PHD mara baada ya kumaliza kutengeneza
filamu yao.
Madai ya Lady Naa amedai kuwa Hemed PHD
aliondoka na bag lenye nguo zake na kila
akimpigia simu Hemed amekuwa yuko busy kiasi
cha kuhisi kuwa Hemed ana nia ya
kumdhurumu,Hemed kapatikana na kuongelea hii
isue.

0 comments :

Post a Comment