Tuesday, 22 July 2014

FORBES: HII NDIYO ORODHA YA WAIGIZAJI WA KIUME WANAOLIPWA PESA NYINGI HOLLYWOOD

Mtandao wa Forbes umetoa orodha ya waigizaji wa
kiume wa Hollywood wanaolipwa fedha nyingi zaidi. Nao
ni kama wafuatao:


1. Robert Downey, Jr. $75 million(picha ya 1)
2. Dwayne Johnson ‘The Rock’ $52 million(picha namba 2)
3. Bradley Cooper $46 million
4. Leonardo DiCaprio $39 million
5. Chris Hemsworth $37 million
6. Liam Neeson $36 million
7. Ben Affleck $35 million
8. Christian Bale $35 million
9. Will Smith $32 million
10.Mark Wahlberg $32 million

0 comments :

Post a Comment