Video queen wa video ya ‘Ice Cream’ ya Noorah ‘Doreen’ aliyeathirika na matumizi mabaya ya madawa
ya kulevya, anadaiwa kuanza kurejea kwenye afya yake ya kawaida baada ya kupata tiba ya Methadone akiwa chini ya uangalizi wa Ray C Foundation.Kupitia Instagram, Ray C ameandika:
“Video queen aliyecheza kwenye video ya Noorah Ice cream Amerudi katika Hali yake ya kawaida baada yakuanza Tiba ya Methadone……Nafurahi sana nikiona matunda ya Ray C Foundation…………..Keep it up girl!!!
Nafurahi kukuona ukiwa na afya njema!!!!!!!Say No to Drugs.”
0 comments :
Post a Comment