Msanii kutoka Nigeria "David Adeleke" almaarufu kama Davido hupenda kupost picha katika mitandao ya kijamii
kuonyesha mali zake..Davido aliulizwa swali na kampuni moja ya magazine(Encomium magazine ) ya nchini kwao.
Baada ya kuulizwa kuhusu ishu hii ya kupenda kuonyesha mali zake kwenye instagram na media zingine..
Davido alijibu,”Sitaweza kuita kama ni kujionyesha kwa mali zangu. Yale ni magari yangu,zile pesa zangu na pia ile ni page yangu. Sio lazima uni follow kwenye instagram wala kunifata kwenye mtandao wowote wa kijamii. Ingekuwa tofauti sana kama nataka kujitangazia mali zangu basi ningetumia mabango ya barabarani lakini sifanyi hivyo”
1 comments :
hahahahahaha..... The King of AFRICA ' DAVIDO '
Post a Comment