Wednesday 30 October 2013

TAZAMA PICHA ZA AJALI YA TRENI ILIYOTOKEA NA KUSABABISHA VIFO HUKO KENYA



 Hii ajali mbaya ilitokea jana asubuhi katika jiji la nairobi..Treni hiyo iligonga basi na kusababisha vifo vya watu 10 huku wengine wakijeruhiwa vibaya...tazama picha zingine hapa chini..

FORBES WATOA ORODHA YA WATU WENYE NGUVU DUNIANI..OBAMA AFUNIKWA..


Endelea kutazama listi hii hapa chini..

Tuesday 29 October 2013

HUYU NDO JAMAA MWENYE MUSTACHI MREFU DUNIANI..AMETUMIA MIAKA 32 KUFUGA MUSTACHI HUO



Ni mzee wa miaka 58 “Ram Singh Chauhan” kutoka jaipur  huko Rjasthan nchini india… ni mzee mwenye mustachi mrefu duniani na amekua akiufuga mustachi huo kwa miaka 32 sasa..Mustachi wake una urefu wa futi 14 na hutumia mda wa masaa mawili kuzisafisha…

VIDEO: UTABIRI WA TB JOSHUA WAZUA UTATA..ATABIRI RAIS MMOJA WA AFRIKA KUTEKWA..


 Tazama alichokisema TB JOSHUA kuhusu kutekwa kwa Rais mmoja wa Africa..cheki na video hapa chini..

HIKI NDICHO ALICHOKISEMA UWOYA BAADA YA WATU KUDAI KAHONGWA GARI AINA YA RANGE ROVER


Baada ya fans wengi kuanza “kumponda” mwanadada Irene Uwoya kuwa gari aina ya Range Rover aliyoinunua “amehongwa na washika dau”, mwanadada huyo ameibuka na  kusema kuwa mali anazomiliki amezinunua kwa pesa zake anazopata kwenye

Monday 28 October 2013

HII NDO KAULI YA LINEX KUHUSU KUFANYA SHOW MWAKA HUU..



Katika kuelekea kukamilisha mpango wake wa kutambulisha muziki mpya kutoka kwa Linex, ametangaza rasmi kurudi tena kwenye show za club za Dar es salaam mwakani baada ya kuwa tayari kutambulisha muziki huo.

HATIMAYE MTU MREFU KULIKO WOTE DUNIANI APATA MKE..TAZAMA PICHA HAPA..



kwa urefu inawezekana akawa kamzidi mkewe kwa futi mbili na nusu au zaidi..Lakini “ Sultan Kosen” mtu mrefu kuliko wote duniani ana furaha kwa kumpata mke wake wa ndoa..kijana huyu anataraji kumuoa “Merve Dibo” baada ya kuhangaika mda mrefu akitafuta mpenzi wa kuishi nae maishani..Tazama picha zingine hapa chini..

Sunday 27 October 2013

DIAMOND NA DAVIDO KUFANYA REMIX YA "MY NUMBER ONE"

Untitled

Msanii mahiri katika ulimwengu wa Bongo Flava maarufu kama Diamond Platnumz, anatarajia kufanya Remix ya wimbo wake ambao unatamba kwa sasa hapa bongo My

HUZUNI: BABA MZAZI WA WEMA SEPETU AFARIKI DUNIA..



Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa baba mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema .A. Sepetu , “Balozi Isaac Abrahamu Sepetu” amefariki dunia.. Marehemu

TAZAMA PICHA ZAIDI YA KUMI (10) YALIYOJIRI NDANI YA FIESTA 2013 DAR..NOMA SANAA..



Mwanamuziki Iyanya Onoyom Mbuk kutoka nchini Nigeria akifanya vitu vyake katika Tamasha la Fiesta 2013. Tazama picha zingine hapa chin...

Saturday 26 October 2013

LINAH: SIJACHUMBIWA BADO ILA NITAOLEWA TU MUDA UKIFIKA



 Msanii mahiri wa kike Tanzania katika ulimwengu wa Bongo Fleva maarufu kama Linah, alikanusha uvumi wa kuwa eti yeye amechumbiwa kutokana na picha alizozipost za Pete ya Uchumba katika mitandao ya kijamii, Msanii huyo pia aliongeza

NEY WA MITEGO APIGWA MARUFUKU KUVAA MLEGEZO..

Ney wa Mitego 1

Ney wa Mitego ambae ni staa wa single za ‘muziki gani’ na ‘salamu zao’ amethibitisha kupewa barua na baraza la sanaa Tanzania ikiwa ni onyo la kutoendelea kuvaa suruali mlegezo kwenye majukwaa mbalimbali anayoonekana.

Friday 25 October 2013

PICHA: DAVIDO AKIWA KATIKA STUDIO ZA CLOUDS FM TAYARI KWA KUFANYA FIESTA


Davido akiwa studio za Clouds FM na kesho ndo Serengeti Fiesta 2013 Ataperform Live @ Leaders Club 2013 Jumamosi 26 Oktoba..Tazama picha zingine hapa chini..

NEW AUDIO: SOLO THANG feat MR. BLUE - MDUDU


Download na kusikilizangoma mpya ya SOLO THANG feat MR. BLUE...Ngoma inaitwa MDUDU..cheki hapa chini..

WEZI WAIBA AKAUNTI ZA PROFESA JAY..TAZAMA ALICHOKISEMA HAPA..



Wezi wa mitandao wamezidi kuiba A/C za wasanii baada ya kuiba Akaunti ya Kala Jermiah, Benpol, leo hii wamehack akaunti ya Profesa Jay…tazama alichokisema baada ya Akaunti yake Kuibiwa....

Thursday 24 October 2013

NICKI MINAJ: QUEEN LATIFAH NDIYE ALIYENISHAWISHI KUFANYA MENGI KWENYE MUZIKI



Rapper wa Young Money Nicki Minaj Amesema Mambo Mengi Kwenye Muziki Wake Yamehamasishwa Na old skul rapper wa kike Queen Latifah na ndio maana muonekano wake ni kama wa Latifah.

HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEPATA UMAARUFU KWA KUA NA MAZIWA (MATITI) MAKUBWA ZAIDI DUNIANI..



Hawkins Turner (53) ni mwanamke anayetokea Georgia Atlanta, mwanamke huyu ana Matiti Makubwa zaidi duniani na  huvaa sidiria yenye size 102zzzz,, Mwanamke huyu aliiambia TLC kwamba Umbo lake limemfanya awe maarufu kwenye nchi zingine

PICHA : UBATIZO WA PRINCE GEORGE ULIVYOKUA

Picha ya Pamoja ya Prince Williams akiwa na Mkewe (kate middleton) Pamoja na Mwanao(prince George)  katika ubatizo wa Mtoto wao..Tazma picha zingine hapa chini...

Wednesday 23 October 2013

EAC YAKUMBWA NA MGAWANYIKO..SOMA HAPA KINACHOENDELEA



Serikali ya Tanzania imekosoa Muungano mpya wa hiari wa nchi za Kenya,Uganda na Rwanda ulioundwa hivi karibuni.
Serikali ya Tanzania imeuelezea kuwa unaenda kinyume na makubaliano katika Jumuiya ya Afrika Mashariki

Tuesday 22 October 2013

MBUNGE HUYU KAFULIA AU NDO MWANANCHI WA KAWAIDA??

http://www.the-star.co.ke/sites/default/files/styles/node_article/public/images/articles/2012/09/26/749/embakasimpwaititu.png

Baada ya kunyang’anywa madaraka , Mbunge huyu wa zamani wa jimbo la Embakasi Kenya “Waititu” amekua mwananchi wa kawaida na amekua akitembea bila ulinzi na kuonekana katika hoteli za bei rahisi mwenyewe katika mawazo mazito tofauti na zamani alivyokua akienda kwenye mahoteli makubwa.. , kitu ambacho wengi wamejiuliza kama kafulia au la.. Tazama picha hapa chini..

HIZI NDIZO PICHA ZA MASHABIKI WA DIAMOND PLATNUMZ WAKIWA KATIKA MAPOZI NA MAVAZI KAMA YA DIAMOND



Hakika Diamond Platnumz ana Mashabiki wengi Wanaomkubali na kufuatilia yale afanyayo kuanzia mavazi mpaka mapozi ya picha zake…Tazama picha hizi zikionyesha Mashabiki hao wakiwa katika pozi moja na Diamond Platnumz..

VIDEO: HIVI NDIVYO REALITY TV SHOW YA WEMA SEPETU ILIVYOANZA



Tazama intro ya  reality  Tv  show ya Wema sepetu “In my shoes” na kwenye hii video Wema ameanza kwa kujielezea yeye ni nani…Tazama video hapa chini…

Monday 21 October 2013

NEW VIDEO: LINEX - KIMUGINA



Mmoja wa members wa Kigoma Allstars anaefanya vizuri kwa industry ya muziki, Linex ameachia video yake nyingine … KIMUGINA … Linex anasifika zaidi kuwa na

NEW AUDIO: MATONYA - UTATA

http://sundayshomari.files.wordpress.com/2013/06/tonya-4.jpg
Hii ndio ngoa mpya kutoka kwa MATONYA inayoitwa UTATA..Download na kusikiliza hapa chini…

NILILIPWA DOLA 2,5OO KWA AJILI YA KUMUUA TUPAC SHAKUR- DEXTER ISAAC


Kijana mmoja aneyekwenda kwa jina la Dexter Isaac ambaye anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kukutwa na makosa ya kuua na kuteka..ameongea na kusema kua

IRENE PAUL KUOLEWA BILA MAHARI...



Stori: Imelda Mtema...

MKALI wa sinema za Kibongo, Irene Paul amesema wakati wake wa kuolewa ukifika, hatatolewa mahari kama ilivyozoeleka badala yake atachukuliwa bila ya mume

Sunday 20 October 2013

HAWA NDIO VIJANA WATANASHATI WATAKAOSHINDANA KWENYE MASHINDANO YA "DAR NEXT HANDSOME"




Dar Next Handsome ni Mashindano Ya Vijana Watanashati zaidi Dar Es Salaam na Mshindi anakwenda Lagos Nigeria kushindana Kwenye Mr Africa. Vijana hawa sita walienda a FNL kuzungumzia Mashindano Haya...Tazama picha zingine hapa chini..

HUU NDIYO UJIO MPYA WA SOLO THANG OCTOBER 25



October 25,mkali wa lyrics na vina,Solo thang anatarajia kuachia historia nyingine
this time inaonekana akiwa na Mr Blue. Single inaitwa "Mdudu" kaa mkao mzuuri wa kuisikiliza. Definately is gonna be the bomb

NEW VIDEO: HEMED PHD - REST OF MY LIFE

vlcsnap-2013-10-19-03h05m36s188
Tazama Video Mpya ya Hemedi PhD...Ni bonge moja la video...tazama hapa..

Saturday 19 October 2013

DR. CHAMELEON AMEONYESHA LOVE KWA MWANAYE..TAZAMA HAPA...


Dr. Jose Chameleon ameonyesha love kwa mwanaye kwa kumpongeza kwa kuchukua mwanamichezo wa mwaka.....tazama alichokiandika katika Akaunti yake ya Facebook..

NEW AUDIO: FID Q feat JUMA NATURE - SIRI YA MCHEZO


Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa FID Q Ft JUMA NATURE-SIRI YA MCHEZO...

Friday 18 October 2013

NEW VIDEO: DULLY SYKES -KABINTI SPECIAL

https://encrypted-tbn3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcROe6h3WYO1w-KKSxuQodbigJb81vFKL0zV-rtndRo-gfyo7O47
Hii ndiyo video mpya ya Dully Sykes.-kabinti special..itazame hapa chini...

HUU NDIO UJUMBE WA BENPOL BAADA YA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUIBIWA NA WAJANJA..



Kama dakika chache zilizopita msanii mahiri wa Bongo Fleva, Ben Pol amelalamika kwamba kuna mtu amefanikiwa kuingia katika account zake zote za Facebook na kuzitumia account hizo visivyo …
Soma maneno ya Ben Pol hapa alicho kiandika katika ukurasa wake wa Twitter ..

MAAJABU: THE ROCK NI MGAHAWA ULIOJENGWA JUU YA MWAMBA BAHARINI HUKO VISIWANI ZANZIBAR



Duniani kuna maajabu mengi,kati ya maajabu hayo ni huu mgahawa uitwao Rock uliopo visiwani Zanzibar uliojengwa juu ya mwamba mkubwa katika bahari ya Hindi..
Tazama picha zaidi hapa chini...

TAZAMA PICHA JINSI AL-SHABAAB WALIVYOSHEREKEA USHINDI WAO BAADA YA YALE YALIYOTOKEA NCHINI KENYA



AL-shabaab wameonyesha picha ambazo zimetafsiriwa kama sherehe ya ushindi kuhusu yaliyotokea Kenya hivi karibuni…Hii ilitokea siku ya jumanne katika sikukuu ya Eid-al-adha ambayo ilifanyika mjini burawa huko nchini Somalia…Tazama picha zaidi hapa...

Thursday 17 October 2013

NICKI MINAJ APOST PICHA NYINGINE ZA NUSU UCHI



Nicki Minaj amepost picha nyingine kwenye akaunti yake ya instagram ikionyesha maziwa yake…itazame picha hapa chini…

MFUMO WA KUPANGA ALAMA KIDATO CHA 4 NA 6 KUBADILISWA...SOMA HAPA



Ikiwa yamebaki majuma machache wanafunzi wa kidato cha nne waanze mtihani wa wa taifa, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iko kwenye mchakato wa

TAZAMA PICHA ZA CHOO AMBACHO WATU HUJUMUIKA NA KULA HAPO (TOILET-RESTAURANT)



Hii ndiyo choo nchini California yenye sehemu ya kupumzikia ukiwa unakula..choo hiki kilifunguliwa oktoba 11 na ni sehemu inaovutia hata kwa usafi wake..Tazama picha nyingine hapa chini..

BAADA YA VYAMA VYA SIASA KUMSHAMBULIA..HICHI NDICHO ALICHOKISEMA ZITTO KABWE..



Baada ya vyama vya siasa kumsambulia hichi ndicho alichokisema Zitto kabwe..Tazama hapa chini...

Wednesday 16 October 2013

HII NDIYO ISHARA YA VIDOLE INAYOTAMBULISHA KAMPUNI YA DIAMOND PLATNUMZ



Kuna baadhi ya maneno,vitendo majina ama taasis,vinakuwa na ishara zake zinazotoa maana ya neno ama kitu husika,mfano.Ukionyesha ishara ya vidole viwili

ZAMBIA YAAMURU WACHEZAJI WAO KUKAMATWA..TAZAMA HAPA..



Zambia imetoa vibali vya kukamatwa kwa wachezaji wake watatu waliokosa mechi ya kirafiki dhidi ya Brazil mjini Beijing China. Hata hivyo Zambia ilishindwa na Brazil mabao mawili kwa nunge..

Tuesday 15 October 2013

HUU NDIO MTAA ULIOPEWA JINA LA SIR ALEX FERGUSON..



Meneja wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson amepewa heshima kwa kuzindua mtaa uliopewa jina lake uliopo karibu na uwanja wa Old Trafford.

TAZAMA MANENO YA "YOUNG D" KUHUSU KULA UNGA...

 
Nimezaliwa Dar es salaam.. Mambo kibao nimepitia (+vity100%) ukichangia mazingira nliyokulia nmejifunza na kuona mambo mengi.. #bangi #pombe hata #sigara

KIJANA AKAMATWA AKIFANYA MAPENZI NA MBUZI...


Kijana mmoja Nchini Kenya  mwenye Umri wa miaka 23 amepelekwa kituo cha polisi huko nyeri kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi na Mbuzi..Inasemekana jamaa

HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEJITEKA NYARA...AMEKAMATWA HUKO NIGERIA


Polisi Kusini Mashariki mwa Nigeria, wamemkamata mwanamke mmoja aliyejidai kutekwa nyara kama njama ya kupata pesa kutoka kwa mumewe.

NEY WA MITEGO: MUZIKI SASA UTANITOA ROHO..


 Mpaka sasa ney haja sema ni nani na nini kimepelekea yeye kuandika hivi kuhusu maisha yake ya muziki. Ila inaonyesha hapa kati amekutana na misuko suko kwenye ,mishe zake, kuchukiwa na kutokukubalika kunaweza pelekea mtu kusema yote haya...tazama hiyo meseji hapa chini...

Monday 14 October 2013

HII NDO HISTORIA NYINGINE ANAYOENDA KUFANYA DIAMOND PLATNUMZ OCTOBER 18



 
Hii ndio history anayoenda kutengeneza Diamond platnumz… cheki chini hapa..

VIDEO: NICKI MINAJ AKUBALI KUMILIKIWA NA SHETANI..TAZAMA HAPA..


Ni dhahiri kwamba watu wengi walikua wakijiuliza kua Nicki minaj anahusika kwenye dini ya kishetani lakini walikosa uhakika kuhusu ili swala..leo katika Video ya Nicki Minaj amekubali kumilikiwa  na shetani… cheki video hapa chini..

TAZAMA PICHA ZAIDI YA 6 ZA MUONEKANO WA STAGE YA TUSKER PROJECT FAME SEASSON 6

 

Huu ndio muonekano wa stage ya Tusker Project Fame season 6 ambayo inaonekana kuwa ya kisasa na imezungukwa na taa nyingi stejini… Tazama picha zaidi ya 7  hapa chini.....

Sunday 13 October 2013

PICHA ZA CALENDA YA BEYONCE ALIYOTEGEMEA KUTOA HIVI KAIBUNI ZAVUJA MTANDAONI..TAZAMA HAPA...



Hivi karibuni BEYONCE alidai kua atapiga picha za kwenye Calender yake ambayo ingetoka hivi karibuni na ingeuzwa dollar 15 kwenye tovuti yake lakini Picha hizo zimevuja na kuonekana kabla ya kalenda hiyo kutoka…Tazama picha hapa chini..

HARD WORK PAYS : HATIMAYE R.O.M.A AFUNGUA DUKA LA NGUO.. TAZAMA PICHA HAPA..


 
Leo katika Account ya Facebook YA R.O.M.A ameandika hivi…

Saturday 12 October 2013

HICHI NDICHO TATOO ALIZOCHORA RIHANNA HIVI KARIBUNI ZINACHOMAANISHA,, CHRISS BROWN AHUSISHWA..



Wiki iliyopita Rihanna alienda kutengeneza Tatoo za kimila huko New Zealand..Lakini Mchora Tatoo wake Leo hii aliweka Wazi kua Tatoo hizo Zilichorwa kwa sababu  ya