Monday 30 December 2013

MZIGO WA AGNESS MASOGANGE WAMDATISHA SENGA..TAZAMA HAPA..



Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa al-maarufu kama “Senga”  amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot filamu mpya ya mwanadada Nisha ambayo mwigizaji huyo ameshirikishwa. Tazama picha nyingine hapa chini...

NEW AUDIO: YOUNG KILLER feat MAULO - MESSAGE TO GOD..


download na sikiliza wimbo kutoka kwa young killer....SIKILIZA HAPA CHINI...

Sunday 29 December 2013

BAADA YA ADAM MCHOMVU KUPOST HII PICHA.. MASHABIKI WAHISI ANAFANYA KILIMO CHA BANGI..



Adam Mchomvu (Baba jonii) amepost picha hi instagram ikionyesha kilimo cha bangi.. ambapo kuna maneno aliambatanisha na kufanya watu waamini kwamba analima bangi..tazma picha hiyo hapa chini..

MELI YA WANASAYANSI YAKWAMA KWENYE THELUJI HUKO ANTARCTICA..ZOEZI LA UOKOAJI BADO LINAENDELEA..



Meli ya Australia imo njiani kuelekea Mashariki wa Antarctica kwa ajili ya kukwamua meli ya wanasayansi iliyokwama kwenye theluji tangu siku ya jumanne.
Awali juhudi za uokoaji zilifanywa na wavuja theluji wa Uchina na Ufaransa lakini walikwama kutokana na unene wa theluji..Endelea kusoma hapa chini...

Saturday 28 December 2013

HII NDIO ORODHA YA VYUO VIKUU 100 BORA AFRICA...UDSM YAWA YA NNE..TAZAMA ORODHA NZIMA HAPA..

Hii ndo orodha ya vyuo vikuu 100 bora Africa kwa mwaka 2013..Tazama Orodha hiyo hapa chini…

HIKI NDICHO ALICHOJIBU LINEX KUHUSU JACKIE CLIFF



Kufuatia madai mbalimbali juu ya Mtanzania aliyekamatwa na madawa ya kulevya china na wengi kumhisi ni Jack Clief,Msanii Linex ambaye amefanya video na msichana huyu video ya wimbo wake wa Kimugina hivi ndivyo alivyoandika kwenye ukurasa wake wa facebook,,

VIDEO: MTOTO WA KIZUNGU AKIJARIBU KUIMBA WIMBO WA YOUNG KILLER(MRS SUPERSTAR)



Katika kutembelea mitandaoni nimekutana na hii video ya mtoto wa kizungu akijaribu kuimba wimbo wa young killer (Mrs Superstar)na kutoa maneno machache kwa young killer…tazama video hapa chini…

PROFESSOR WA CHUO KIKUU AJIUA KWA MADAI YA KUSHINDWA KUISHI BILA MAPENZI...



Police are investigating the circumstances under which a university lecturer committed suicide by jumping into a river..

Friday 27 December 2013

WANAWAKE HAWA WAVUA NGUO BAADA YA KUPAGAWA NA SHOO YA SAUTI SOL..

https://encrypted-tbn3.gstatic.com/images?q=tbn:ANd9GcRWTfTCDvAxDIGHKp6octuUAklq2CV2-b7vY26-0K8fEYFvPgu0Yw 
Baada ya sauti sol kuwapagawisha mashabiki..wanawake washindwa kujizuia na kuanza kujifunua jukwani na kubaki uchi…tazama picha hapa chini…
PLEASE NI KWA UMRI WA MIAKA 18+

HII NDO JEURI YA PESA... PREZZO KUHESABU PESA KWA KUTUMIA MASHINE..TAZAMA HAPA..



Prezzo amepost picha ya mashine ya kuhesabu pesa aliyopewa zawadi na dada ake kama zawadi..prezo alipost picha hiyo kwenye akaunti yake ya instagram..itazame hapa…

VIDEO: AGNESS MASOGANGE VS NISHER WAKISHINDANA KUKATA MAUNO..TAZAMA HAPA..



Video mbili zikimwonesha Agness Masogange na Nisher wa bongo movie wakicheza na kukata mauno huku Agness akiandika kua anashukuru baby wake(Nisher) kapona na yuko katika matayarisho ya movie mpya ambayo Agness nae atakupo ndani..Zitazame Video hizi mbili nani Zaidi??...

Thursday 26 December 2013

BAADA YA KUMTEMA PENNY.. DIAMOND AMTANGAZA RASMI WEMA SEPETU KUA MCHUMBA WAKE..



994992_654719497904805_1370630389_n 
Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.
Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?...ENDELEA..

Tuesday 24 December 2013

EDWARD SNOWDEN: LENGO LANGU LIMEKAMILIKA..



Mfanyakazi wa zamani wa muda katika Shirika la Usalama la Marekani, NSA, Edward Snowden, ambaye alifichua kuwepo kwa mipango ya Marekani kufuatilia taarifa za mawasiliano ya watu, amesema amefaniskisha lengo lake..endelea hapa chini..

Monday 23 December 2013

HIKI NDICHO USICHOKIJUA KUHUSU MADAM RITA..


Madam Ritta amefunguka na kusema baadhi ya mambo usiyoyajua kuhusu yeye na hiki ndicho alichokisema Madam kwenye akaunti yake ya mtandao wa facebook...Tazama hapa chini...

Friday 20 December 2013

PICHA: MADEE AKIPAKA POWDER YA DIAMOND PLATNUMZ..TAZAMA HAPA..


Hii ilitokea katika utengenezaji wa video mpya ya chege inayoenda kwa jina "chapa nyingine" ..tazama picha zaidi hapa chini..

HIVI NDIVYO MSANII STL ALIVYOIFUNGA BARABARA ILI KUFANYA VIDEO..


Msanii kutoka kenya STELLA MWANGI a.k.a STL amepost picha hizi akiwa anashoot video mpya barabani...tazame picha hapo chini...

Wednesday 11 December 2013

LIL WAYNE AACHANA NA MPENZI WAKE HUYU BAADA YA KUKAA NAE KWA MIAKA SITA(6)



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEis68M29S0-e0_TD_yuh0lZPlRZJh6b460Oh6a4VzQl8nab-vRWGn3rXelLexigZvDTLApXXPoq-Te4gZrWvG3IQoi2dQYzWvgow1it0iVG63329ky7gi0b11DQFY0cW65kBteH36eFTbo1/s320/Karrine-Steffans-and-Lil-Wayne.jpeg
Mwanandada kutoka kundi la notorious"

Karrine Steffans" ameonyesha ujumbe unaoonyesha ameachana na rapa Lil wayne.. cha ajabu ni pale alipoweka kila kitu mtandaoni badala ya kupiga kimya kimya..huu ndo ujumbe aliotuma…tazama hapa chini…

Monday 9 December 2013

AMA KWELI SANAA INALIPA..HUU NDIYO MJENGO WA SHILOLE ,,,TAZAMA PICHA HAPA...



 
SHilole amepost picha hizi za mjengo wake uliopo kimara akimuomba mungu amsaidie aweze kuumaliza mjengo huo..tazama picha za mjengo huo hapa chini na hii inazidi kudhihirisha kwamba sanaa inalipa..tazma picha hapa chini na maneno ya shilole kuhusu picha hiyo..

HAWA NDIO WACHEZAJI MAARUFU DUNIANI WANAOWAPENDA WANAWAKE(WOMANIZERS) KATIKA HISTORIA YA MICHEZO..




At last year’s London Olympics, there was uproar of drama regarding 11-time USA Olympic swimming medalist Ryan Lochte and his mum’s comments about his sex life. She stated, “He goes out on one-night stands. He’s not able to fully give to a relationship because he’s always on the go.” ..Continue here...

PICHA: HUYU NDIYE MCHUMBA WA MBWANA SAMATA..MTAZAME HAPA..

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEg1fbxAvEUbnNbqc7W2ukytFTXS43YFGnl9XzxpMR-Z0gVlCfKqQuwMfVU9xN7J3CvXdyD6i40-PMASW86TnJ0mrkcbtim9A0P1uoFjVSzTLCxaDZrj3cFLcV2Fiv7BsyVYYStRU51NSQQk/s1600/Samata-Bwana.jpg

Huyu ndiye mchumba wa Samata, ameweka picha ya pamoja akiwa nae na kuandika maneno yanayomhusu samatta…tazama picha zaidi ya tano hapa…

Saturday 7 December 2013

HAWA NDIO WANAWAKE WADOGO WENYE UWEZO MKUBWA AFRICA..TANZANIA NI MMOJA TU...


Forbes wametoa Listi ya wanawake wenye umri mdogo(miaka 45 kurudi chini) wenye uwezo mkubwa barani Africa...Tazama listi nzma hapa...

KUTANA NA HUYU MTOTO MDOGO MWENYE VIDOLE 34....


Motto mdogo amewashangaza walio wengi baada ya kuzaliwa na vidole 34…Akshat Saxena ana vidole 7 katika kila mkono wake na pia ana vidole 10 katika kila mguu wake lakini hakuna dole gumba…tazama picha zaidi hapa chini...

Thursday 5 December 2013

NICKI MINAJ AMEMUENZI MZEE NELSON MANDELA KWA KUANDIKA MANENO YA KISWAHILI...TAZAMA HAPA..

 
Nicki minaj amemuenzi mzee nelson Mandela kwa kuandika maneno ya Kiswahili katika mtandao wa instagram..tazama alichokiandika hapa chini,,

NEW AUDIO: MOYO WANGU - SPACIO DEVIN


Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa Spacio Devin- moyo wangu...Endelea hapa chini..

BREAKING NEWS: MZEE NELSON MANDELA AMEFARIKI DUNIA..



 
Habari kuhusu kifo cha Nelson Mandela zimetangazwa na Rais wa sasa wa Africa Kusini Bwana Jacob Zuma dakika chache kuelekea saa saba usiku wa kuamkia leo December 6 2013. Pia vyombo vya habari Bbc Na CNN vimetangaza kuwa Mandela amefariki akiwa na miaka 95 na alikuwa hospitalini kwa muda mrefu akipata matibabu..Endelea hapa...

HII NDIYO PICHA YA SIMU YA OFISINI YA SENETA MAARUFU "SONKO" YENYE UMBO LA MSICHANA ALIYEVAA BIKINI



https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjdZgkon5K8H4JZwY0gcQbLHivBuMtMr5k82TujqnnaR4wWx3Vv3-YGyUtobSXSob-UFxp0u99562jcBHWmKRxmRghLSBlpkPp1njxPJdEyGPIpyPvxvH2950gqcumznLk7NWpOhMMPyO8/s1600/SONKO2.jpg 
Seneta maarufu na mwenye vituko nchini Kenya maarufu kama SONKO ameonyesha picha za simu yake ya mezani yenye umbo la msichana aliyevaa bikini…Tazama hapa chini picha zaidi..

Tuesday 3 December 2013

TUNDA MAN: NILISHINDWA MASHARTI YA KUMILIKI BASTOLA NIKAAMUA KUIRUDISHA...




Msanii wa kundi la Tip Top Connection Khalid Ramadhan aka Tunda Man, alikuwa ni miongoni mwa watu waliokuwa wanamiliki silaha za moto (bastola), kitu kilichofahamika na kuandikwa na baadhi ya vyombo vya habari mapema..endelea hapa chini...

HILI NDILO TUSI ALILOTOA IRENE UWOYA BAADA YA WATU KUREACT KWENYE POST ALIYOANDIKA MTANDAONI..



Hapo jana mwanadada Irene uwoya aligeuka mada ya mtandao mmoja maarufu wa kijamii baada ya kuweka picha ya mwigizaji wa marekani Vin Diesel ikiwa na maneno ya “R.I.P – Bwana ametoa na bwana ametwaa” kwa jamaa huyo kuwa amefariki kitu ambacho sio kweli na ndipo mashabiki walipoanza kumshambulia mwanadada huyo kuwa awe anafanya research na sio kupost vitu ambavyo havielewi il mradi amepost..Endelea hapa chini..

Sunday 1 December 2013

PICHA ZIKIMUONYESHA MSANII TIMBULO AKIFANYA UCHAFU HADHARANI...

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEh_vH9Bz8ABz6vPpiVS76fjO0QMAr6PWFDaiw0gmAUQnFkKywuo33vBrXVyMbwdRv9PfR50YwWHHl5QJX5GfeUV6UA1zkJCarCIbXitza7Jg7SwMKkv295dqhipD8lJ7IADRBoQvCpMMCVP/s1600/Timbulo.jpg

Msanii chipukizi wa muziki wa kizazi kipya(bongo flava) Ally Timbulo (Timbulo) amefumwa akifanya MAPENZI na  chipukizi wa filamu Isabela Francis,tukio hili lilitokea juzi usiku wa manane maeneo ya Ilala. tazama picha  wakiwa kwenye mahaba mazito!!!!..

KWA WADADA : DALILI ZA MWANAUME ANAYEKUPENDA..

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj_nxGplQm9Zj_o6WjVI_a3BB4slj5pzB56-tKRkMes5kVYOrLnRJl-mWU5okSOZLhEQPKUmPydHxi4m9v_Tfwq40AiBGfL-V9naWSDnauomzWea99PE2UmvXPiDUPXUNFx6pcBi5rC_AM/s640/SPEC.jpg

ANAVYOKUTAZAMA
Mwanasaikolojia Zick Rubin kutoka Chuo cha Havard nchini Marekani aliwahi kusema kwamba watu wanaopendana hutumia asilimia 75 kutazamana kuliko wasiopendana, ambao kiwango chao ni asilimia 30-50. endelea hapa chini...

BAADA YA PICHA ZA UCHI KUZAGAA ..HIKI NDICHO ALICHOKISEMA RIYAMA..

NYOTA wa filamu na mshindi wa zamani wa Tuzo ya Mwigizaji Bora wa Kike nchini, Riyama Ally a.k.a Riyama amewataka wasanii wenzake kuacha tabia alizoziita za kijinga kwa kuiga maisha na uigizaji wa wasanii wa ng’ambo.

SHAA MJAMZITO...?? TAZAMA POST YENYE UTATA IKIONESHA ANATAGEMEA MTOTO HIVI KARIBUNI..!!

sha

Siku ya jana asubuhi maswali mengi yamejitokeza kutokana na yule mwana dada mwenye ngoma kali ambayo inasumbua jiji ya Sugua Gaga maarufu kama Shaa, Kupost kitu kupitia akaunti yake ya mtandao wa kijamii wa  Instagram ambacho kimefanaya mashabiki na wapenzi wa muziki wake kujiuliza maswali.