Thursday 26 December 2013

BAADA YA KUMTEMA PENNY.. DIAMOND AMTANGAZA RASMI WEMA SEPETU KUA MCHUMBA WAKE..



994992_654719497904805_1370630389_n 
Hii ilikuwa jana pale Leaders club kwenye show ya Diamond ambapo Wema Sepetu alipanda kwenye stage na kuongea na mashabiki waliofika kwenye show hiyo.
Kwenye hiyo show Diamond aliuliza,”Mnataka kumjua mchumba wangu”?...ENDELEA..

Show ilivyoendelea Diamond alitaka kuimba wimbo wa ukimwona akasema, “Naskia ninayetaka kumuimbia wimbo huu yupo humuhumu ndani”.
Wema Sepetu akapanda kwenye stage wakaimba na kucheza wote.
379719_654725334570888_100223854_n 
1499625_654740321236056_1133727884_n 
 

0 comments :

Post a Comment