Sunday 26 January 2014

HII NDO BARUA YA JUAN MATA KWA MASHABIKI WA CHELSEA..TAZAMA HAPA..


Juan-Mata
Hi
everyone, As you can imagine this is a very important day in my life, and with these lines I would like

Thursday 16 January 2014

NEW AUDIO: LUI WA MBELE feat ZEEPY & TESSY - HAKUNA MATATA

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa lui wa mbele ft zeepy & Tessy- Hakuna matata..
sikiliza na download hapa chini...

Monday 13 January 2014

HII NDIO POST YA KWANZA YA MSANII JUX KUMHUSU JACKIE CLIFF...



http://millardayo.com/wp-content/uploads/2014/01/cliff.jpg 
Ni siku kama tano zimepita toka ubalozi wa Tanzania nchini China usema hauna taarifa zozote za kukamatwa kwa Mtanzania Jackie Cliff huko China na kwamba Watanzania wa mwisho kukamatwa ilikua December 2013 na walikua Wanaume.
Saa kadhaa zilizopita msanii Jux ambae amekua akitajwa kuwa mapenzini na Jackie, amepost maelezo pamoja na picha ambayo inaonekana inaonekana ameongea na Jackie

Sunday 12 January 2014

NEW AUDIO: KIBAJA feat R.O.M.A- AMSHA AMSHA..

Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa kibaja feat Roma-AMSHA AMSHA... Ngoma imetengenezwa noiz maker na producer DX..isikilize hapa chini..(best music 2014)..

Friday 10 January 2014

PICHA :HUYU NDIYE MZEE AMBAYE HAJAWAHI KUOGA KWA MIAKA 60 SASA

This Iranian man, Amoo Hadji, hasn't bathed in over 60 years.

Mzee AMOO HADJI kutoka iran ni mzee mwenye miaka 80 na hajawahi kuoga kwa miaka 60 sasa.. Nozi yake imekauka na ina mabaka yote kwa sababu hiyo na kizuri ni kua mzee huyu hana ugonjwa wa ngozi ..Tazama picha za mzee huyo hapa chini..

VIDEO: MAPENZI YA WEMA SEPETU NA DIAMOND SIO SIRI TENA.. WEMA AMEPOST VIDEO NA KUANDIKA MANENO HAYA..




Wema amepost hii video kwenye akaunti yake ya Instagram na kuandika maneno haya,…

YAYA TOURE ASHINDA TENA TUZO ZA MWANASOKA BORA WA AFRIKA...

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiZ7fUZLUQ997WlbcALcg6PP5ePk9gvMBKWsbZ5g39Y9ayKBVnz_7wrGP6-UQR_-iuKWG5yuD4s3PO36a2yNOqftJ5P58YqHbfqzCgxqTsePUP_QSmTQWuXFvcJDX06je0ksyQ9llrZrnqE/s1600/9.jpg


Kiungo wa Manchester City Yaya Toure raia wa Ivory Coast ametawazwa kwa mwaka wa tatu mfululizo kuwa mwanasoka bora wa bara la Afrika.

Thursday 9 January 2014

PICHA : HUYU NDIYE JAMAA ANAYEHISI KUA YEYE NI MUNGU..



 Meet 66-year-old Brazilian man Inri Cristo who believes he is the reincarnation of Jesus Christ. Inri dresses like Jesus, says his mission is to prepare the elect for the formation of the new earthly society, which will strive to fulfill the Creator's will.

Monday 6 January 2014

Saturday 4 January 2014

PICHA: MSANII MAHEEDA ABAKI MTUPU KATIKA UTENGENEZAJI WA VIDEO YAKE MPYA...



Msanii maheeda ameonekana akishoot video ya wimbo wake mpya ambao kuna baadhi ya scene zinamwonesha akiwa uchi.. Msanii huyo wa Nigeria anashoot video ya wimbo wake unaoenda kwa jina la Niger bad gal..tazama picha za utengenezaji wa video hapa chini…

Friday 3 January 2014

MADEE AMEMNUNULIA BOSI WAKE HILI GARI...TAZAMA HAPA.....


madee amemnunulia bosi wake ili gari katika siku ya kuzaliwa kwakena kisha aliambatanisha na maneno haya "Happy be day my boss @babutale @mkubwafella @dicksound1 @tundamancaptain na hiii ndo ile zawad nliyokuaidi nenda kwako utaikuta#brash#brash# @bdoz"
tazama picha za gari hapa chini......

HII NDIYO MPYA KUTOKA KWA DR. JOSE CHAMELEONE NA DAVIDO...


Chameleone anatarajia kufanya makubwa haya mwaka huu..Tazama hapa chini...

Thursday 2 January 2014

VIDEO: DIAMOND PLATNUMZ feat DAVIDO - MY NUMBER 1 REMIX (KIONJO)

 
Hiki ndiyo sehemu ndogo ya remix ya video ya Diamond platnumz aliyomshirikisha DAVIDO kutoka Nigeria..itazame hapa chini…

RAY C AONGEA MANENO HAYA MAKALI KUMHUSU JACKIE CLIFF...

j

Ni siku kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani laki moja huko Macao China ambapo vyombo kadhaa vya Tanzania vimeripoti kwamba binti huyo anadaiwa kuwa Jackie Cliff ambae amewahi kuonekana kwenye video kadhaa za wasanii wa Kitanzania.
Kifuatacho ni kilichoandikwa na RayC, mwimbaji wa Kitanzania ambae katika stori zake kubwa za maisha ni pamoja na kuingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya uliompoteza kabisa kwenye muziki na ramani ya maisha mpaka kufilisika.

PICHA ZIKIMUONYESHA MH TEMBA KIPINDI YUKO JESHINI..TAZAMA HAPA..

MH; Temba amepost picha hii hapa chini na kuandika maneno haya hapa chini...

Wednesday 1 January 2014

MATAPELI WAIBUKA UPYA..SASA WAMTUMIA ZITTO KABWE NA KHADIJA KOPPA KUWAPOTOSHA WATU..



 
Leo katika akaunti yake ya facebook , Mh: ZITTO kabwe ameandika ujumbe na kuweka picha jinsi matapeli walivyokuja na njia mpya ya kuwaibia watu kupitia majina ya watu maarufu…MH: Zitto kabwe alianika maneno haya