Thursday 2 January 2014

RAY C AONGEA MANENO HAYA MAKALI KUMHUSU JACKIE CLIFF...

j

Ni siku kadhaa zimepita toka taarifa itoke kwenye mitandao kadhaa ya nchini China kuhusu binti wa kitanzania mwenye umri wa miaka 28 akamatwe na dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya dola za Kimarekani laki moja huko Macao China ambapo vyombo kadhaa vya Tanzania vimeripoti kwamba binti huyo anadaiwa kuwa Jackie Cliff ambae amewahi kuonekana kwenye video kadhaa za wasanii wa Kitanzania.
Kifuatacho ni kilichoandikwa na RayC, mwimbaji wa Kitanzania ambae katika stori zake kubwa za maisha ni pamoja na kuingia kwenye utumiaji wa dawa za kulevya uliompoteza kabisa kwenye muziki na ramani ya maisha mpaka kufilisika.

http://millardayo.com/wp-content/uploads/2014/01/1.png

2

0 comments :

Post a Comment