Friday 23 May 2014

HII NDO KAULI YA WAYNE ROONEY ENDAPO VAN PERSIE ATAKUA NAHODHA WAKE ..

372816_heroa 
Tangu Nemanja Vidic alipotangaza rasmi kwamba msimu ujao hatokuwepo Old Trafford msimu ujao, kulianza tetesi juu ya mchezaji gani atapewa nafasi ya kurithi mikoba ya unahodha ya Vidic.

Wednesday 21 May 2014

NEW VIDEO: MB DOGG - MBONA UMENUNA..

LOLIONDO KWENYE HEADLINE TENA, SASA SIO KIKOMBE CHA BABU NI DHAHABU...

dha
Nimeambiwa kuwa kwa sasa kuna watu wa nguvu kibao wanaenda Samunge,Loliondo na kinachowapeleka sio ishu ya Kikombe cha babu tena sasa hivi ni madini ya dhahabu ambayo inasemekana yamegundulika eneo hilo.

Thursday 15 May 2014

HII NDIO LISTI YA VILABU VYA MPIRA ZINAZOONGOZA KWA KUTOA WACHEZAJI WENGI KOMBE LA DUNIA

fifa_world_cup_2014_wallpaper1
Homa ya kombe la dunia inazidi kupanda zikiwa zimebaki takribani wiki zipatazo nne kabla ya michuano hiyo haijaanza kutimua vumbi kwenye viwanja tofauti nchini Brazil. Timu zote 32 tayari zimeshatangaza vikosi vyao kwa ajili ya michuano hiyo.

HUU NDO UJUMBE KWA WANAOTUMA UJUMBE WA NGONO - KENYA


Kumtumia mtu ujumbe wenye picha za watu walio uchi na zenye mada ya ngono nchini Kenya kunaweza kukuweka mashakani.
Maafisa wakuu wanasema kuwa yeyote atakeyepatikana na hatiaatafungwa jela kifungo cha miezi mitatu kwenda chini...

Saturday 10 May 2014

HII NDO KAULI YA DIAMOND PLATNUMZ BAADA YA WIMBO WAKE (KITORONDO) KUVUJA...

DIAMOND
inawezekana ikawa si mara ya kwanza kusikia habari za wasanii kulalamika kuhusu kuvuja kwa nyimbo zao,Diamond Platnumz nae ana malalamiko yake juu ya hili na hii ni baada ya siku ya leo kusambaa kwa wimbo wake unaoitwa Kitorondo ambao yeye hajautoa lakini kashangaa kuukuta kwenye mitandao ya kijamii.

Friday 9 May 2014

HUU NDIO USHAHIDI ALIONASA WEMA SEPETU WA KAJALA KUMUIBIA BWANA......

 
Stori: IMELDA MTEMA

Unaweza ukaficha siri na ukaamini hakuna atakayejua bila kukumbuka kuwa hakuna siri ya watu wawili! Hatimaye Wema Isaac Sepetu amenasa ushahidi wa aliyekuwa rafikiye kipenzi, Kajala Masanja wa kumwibia aliyekuwa bwana’ke, Clement au CK, yule kigogo wa ikulu..endelea hapo chini...

SUDAN KUSINI: MAHASIMU KUKUTANA ANA KWA ANA...SOMA HAPA...


Mazungumzo ya ana kwa ana kati ya viongozi wanaozozana nchini Sudan Kusini, Rais Salva Kiir na kiongozi wa waasi Riek Machar, yanatarajiwa kuanza tena mjini Addis Ababa Ethiopia.
Marekani inasema kuwa haina matumaini kuwa mazungumzo ya leo yataweza kuleta mafanikio yoyote.

HIZI NDIZO LAWAMA ALIZOTOA DAVIDO KUHUSU AIRPOT IMMIGRATION....

davido-versace-obo-remix 
Msanii maarufu na kipenzi cha wengi nchini Nigeria  David Davido Adeleke, ametoa malalamiko yake katika mtandao wa kijamii instagram jana kuwa hakupendezewa na kitendo walichomfanyia idara ya uhamiaji nchini Lagos Nigeria, baada ya kumsababishia kukosa ndege aliotaraji kupanda

HAYA NDIYO MANENO YA JACKLINE WOLPER KUHUSU USAGAJI NA KUBADILISHA DINI...

Screen Shot 2014-05-09 at 7.02.35 AM
Ni longtime mwigizaji Mtanzania Jaqueline Wolper amekua kimya na hajasikika akiyatoa ya moyoni kuhusu yote yaliyompata kwenye miezi iliyopita na kumfanya amiliki sana headlines za magazeti, blogs, website pia facebook na twitter huku wengi wakiwa na hamu ya kusikia akiyaongelea.