Friday 11 October 2013

PICHA YA ADAM MCHOMVU YALETA UTATA...CHEKI REACTION ZA WATANGAZAJI WENZAKE NA MASHABIKI..AIBU


Mtangazaji wa Clouds Fm Adam Mchomvu amepost picha hii Kupitia Account yake ya mtandao wa kijamii wa Instagram na kuandika maneno hayo, picha hii imezua maswali mengi kwa fans wake pia hata kwa watangazaji wenzie...cheki hapa chini..


Hizi ndo reaction za Mashabiki..

0 comments :

Post a Comment