Saturday 12 October 2013

TAZAMA JINSI LULU MICHAEL ALIVYOFUNGUKA NA KUNENA YA MOYONI KUHUSU JOKATE..


Ikiwa ni kwa wasanii wachache sana wenye mapenzi ya kweli kwa wenzie Lulu Michael aonyesha upendo wa dhati na kumwaga sifa kedekede  mwanadada Jokate Mwegelo. Kupitia akaunti yake ya instagram Lulu Michael au Hotlulumichael  au Elizabeth Michael aaamua kufunguka na kusema haya kuhusu jokate . 
cheki alichokisema hapa...


0 comments :

Post a Comment