Monday 30 December 2013

MZIGO WA AGNESS MASOGANGE WAMDATISHA SENGA..TAZAMA HAPA..



Mwigizaji mkongwe nchini Ulimboka Mwakilasa al-maarufu kama “Senga”  amenaswa laivu na kamera ya mdau mmoja akishangaa laivu mzigo (wowowo) la mwanadada Agness Masogange wakati wakishoot filamu mpya ya mwanadada Nisha ambayo mwigizaji huyo ameshirikishwa. Tazama picha nyingine hapa chini...


0 comments :

Post a Comment