Wednesday 16 October 2013

HII NDIYO ISHARA YA VIDOLE INAYOTAMBULISHA KAMPUNI YA DIAMOND PLATNUMZ



Kuna baadhi ya maneno,vitendo majina ama taasis,vinakuwa na ishara zake zinazotoa maana ya neno ama kitu husika,mfano.Ukionyesha ishara ya vidole viwili
unamaanisha amani.Diamond nae amekuja na ishara yake ya vidole inayotambulisha  kampuni yake ya WASAFI ama WCB.
kuna picha anaonekana anaonyesha  ishara ya vidole vitatu,vikisimama badala ya W(WCB)..



Diamond na mmoja wa member  wa WCB anaefahamika kama Kifesi,wakionyesha ishara ya vidole vitatu,W(wcb)


0 comments :

Post a Comment