Monday 21 October 2013

NEW VIDEO: LINEX - KIMUGINA



Mmoja wa members wa Kigoma Allstars anaefanya vizuri kwa industry ya muziki, Linex ameachia video yake nyingine … KIMUGINA … Linex anasifika zaidi kuwa na
vocals nzuri huku akiimba kwa hisia kutumia lugha tofauti katika uandishi wake …
Tazama KIMUGINA yenye mtoto mzuri wa kike anayeonekana ndani ya video hii kutoka kwa Linex Sunday Mjeda !

0 comments :

Post a Comment