Tuesday 15 October 2013

KIJANA AKAMATWA AKIFANYA MAPENZI NA MBUZI...


Kijana mmoja Nchini Kenya  mwenye Umri wa miaka 23 amepelekwa kituo cha polisi huko nyeri kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi na Mbuzi..Inasemekana jamaa
huyo alimfunga mbuzi huyo kwenye mti nyakati za usiku na kuanza kumfanyia unyama huo..Bibi yake kijana huyo(ambaye ndo mwenye mbuzi huyo) alidai  kua ”alikua amelala na kusikia Mtu akihangaika kumtoa mbuzi huyo zizini.. Alivyoamka alimkuta mjukuu wake akiwa kifua wazi a lakini alipomuuliza kijana huyo kunanini ,? Kijana alidai alikuja kumuangalia mbuzi huyo baada ya kusikia analia..

Bibi huyo(Wangui) alisema alikua hajui mjukuu wake anataka kufanya nini na akasema pia kijana huyo alianza kuwa na tabia isiyoeleweka toka alipokimbia kutoka kitale miaka miwili iliyopita..Kijana huyo alikamatwa na jirani ambaye pia aliamshwa na kelele za mbuzi hao..

Kijana huyo alikimbia lakini baadae alikamatwa na kupelekwa kituo cha polisi..


 

0 comments :

Post a Comment