Tuesday 15 October 2013

HUU NDIO MTAA ULIOPEWA JINA LA SIR ALEX FERGUSON..



Meneja wa zamani wa Manchester United, Alex Ferguson amepewa heshima kwa kuzindua mtaa uliopewa jina lake uliopo karibu na uwanja wa Old Trafford.

Mtaa uliokuwa unaitwa Waters Reach kwa sasa utakuwa Sir Alex Ferguson Way.
Akifungua mtaa huo Ferguson alisema kuwa hatua hiyo inaashiria safari ya miaka 26 yenye mafanikio kama kocha wa Manchester United.

0 comments :

Post a Comment