Wednesday, 30 October 2013
TAZAMA PICHA ZA AJALI YA TRENI ILIYOTOKEA NA KUSABABISHA VIFO HUKO KENYA
Hii ajali mbaya ilitokea jana asubuhi katika jiji la nairobi..Treni hiyo iligonga basi na kusababisha vifo vya watu 10 huku wengine wakijeruhiwa vibaya...tazama picha zingine hapa chini..
FORBES WATOA ORODHA YA WATU WENYE NGUVU DUNIANI..OBAMA AFUNIKWA..
Endelea kutazama listi hii hapa chini..
Tuesday, 29 October 2013
HUYU NDO JAMAA MWENYE MUSTACHI MREFU DUNIANI..AMETUMIA MIAKA 32 KUFUGA MUSTACHI HUO
Ni mzee wa
miaka 58 “Ram Singh Chauhan” kutoka jaipur huko Rjasthan nchini india… ni mzee mwenye
mustachi mrefu duniani na amekua akiufuga mustachi huo kwa miaka 32
sasa..Mustachi wake una urefu wa futi 14 na hutumia mda wa masaa mawili
kuzisafisha…
VIDEO: UTABIRI WA TB JOSHUA WAZUA UTATA..ATABIRI RAIS MMOJA WA AFRIKA KUTEKWA..
Tazama alichokisema TB JOSHUA kuhusu kutekwa kwa Rais mmoja wa Africa..cheki na video hapa chini..
HIKI NDICHO ALICHOKISEMA UWOYA BAADA YA WATU KUDAI KAHONGWA GARI AINA YA RANGE ROVER
Baada ya fans wengi kuanza “kumponda” mwanadada Irene Uwoya kuwa gari aina ya Range Rover aliyoinunua “amehongwa na washika dau”, mwanadada huyo ameibuka na kusema kuwa mali anazomiliki amezinunua kwa pesa zake anazopata kwenye
Monday, 28 October 2013
HII NDO KAULI YA LINEX KUHUSU KUFANYA SHOW MWAKA HUU..
Katika kuelekea kukamilisha mpango wake wa
kutambulisha muziki mpya kutoka kwa Linex, ametangaza rasmi kurudi tena kwenye
show za club za Dar es salaam mwakani baada ya kuwa tayari kutambulisha muziki
huo.
HATIMAYE MTU MREFU KULIKO WOTE DUNIANI APATA MKE..TAZAMA PICHA HAPA..
kwa urefu inawezekana akawa kamzidi mkewe kwa futi
mbili na nusu au zaidi..Lakini “ Sultan Kosen” mtu mrefu kuliko wote duniani
ana furaha kwa kumpata mke wake wa ndoa..kijana huyu anataraji kumuoa “Merve
Dibo” baada ya kuhangaika mda mrefu akitafuta mpenzi wa kuishi nae maishani..Tazama picha zingine hapa chini..
Sunday, 27 October 2013
DIAMOND NA DAVIDO KUFANYA REMIX YA "MY NUMBER ONE"
Msanii mahiri katika ulimwengu wa Bongo Flava maarufu kama Diamond Platnumz, anatarajia kufanya Remix ya wimbo wake ambao unatamba kwa sasa hapa bongo My
HUZUNI: BABA MZAZI WA WEMA SEPETU AFARIKI DUNIA..
Taarifa zilizotufikia hivi punde zinaeleza kuwa baba
mzazi wa Miss Tanzania 2006, Wema .A. Sepetu , “Balozi Isaac Abrahamu
Sepetu” amefariki dunia.. Marehemu
TAZAMA PICHA ZAIDI YA KUMI (10) YALIYOJIRI NDANI YA FIESTA 2013 DAR..NOMA SANAA..
Mwanamuziki
Iyanya Onoyom Mbuk kutoka nchini Nigeria akifanya vitu vyake katika Tamasha la
Fiesta 2013. Tazama picha zingine hapa chin...
Saturday, 26 October 2013
LINAH: SIJACHUMBIWA BADO ILA NITAOLEWA TU MUDA UKIFIKA
Msanii mahiri wa kike Tanzania
katika ulimwengu wa Bongo Fleva maarufu kama Linah, alikanusha uvumi wa kuwa
eti yeye amechumbiwa kutokana na picha alizozipost za Pete ya Uchumba katika
mitandao ya kijamii, Msanii huyo pia aliongeza
NEY WA MITEGO APIGWA MARUFUKU KUVAA MLEGEZO..
Ney wa Mitego ambae ni staa wa single za ‘muziki gani’ na ‘salamu zao’ amethibitisha kupewa barua na baraza la sanaa Tanzania ikiwa ni onyo la kutoendelea kuvaa suruali mlegezo kwenye majukwaa mbalimbali anayoonekana.
Friday, 25 October 2013
PICHA: DAVIDO AKIWA KATIKA STUDIO ZA CLOUDS FM TAYARI KWA KUFANYA FIESTA
Davido akiwa studio za Clouds FM na kesho ndo Serengeti Fiesta 2013 Ataperform Live @ Leaders Club 2013 Jumamosi 26 Oktoba..Tazama picha zingine hapa chini..
NEW AUDIO: SOLO THANG feat MR. BLUE - MDUDU
Download na kusikilizangoma mpya ya SOLO THANG feat MR. BLUE...Ngoma inaitwa MDUDU..cheki hapa chini..
WEZI WAIBA AKAUNTI ZA PROFESA JAY..TAZAMA ALICHOKISEMA HAPA..
Wezi wa mitandao wamezidi kuiba A/C za wasanii baada
ya kuiba Akaunti ya Kala Jermiah, Benpol, leo hii wamehack akaunti ya Profesa
Jay…tazama alichokisema baada ya Akaunti yake Kuibiwa....
Thursday, 24 October 2013
NICKI MINAJ: QUEEN LATIFAH NDIYE ALIYENISHAWISHI KUFANYA MENGI KWENYE MUZIKI
Rapper wa Young Money Nicki Minaj Amesema Mambo
Mengi Kwenye Muziki Wake Yamehamasishwa Na old skul rapper wa kike Queen
Latifah na ndio maana muonekano wake ni kama wa Latifah.
HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEPATA UMAARUFU KWA KUA NA MAZIWA (MATITI) MAKUBWA ZAIDI DUNIANI..
Hawkins Turner (53) ni mwanamke anayetokea Georgia
Atlanta, mwanamke huyu ana Matiti Makubwa zaidi duniani na huvaa sidiria yenye size 102zzzz,, Mwanamke
huyu aliiambia TLC kwamba Umbo lake limemfanya awe maarufu kwenye nchi zingine
PICHA : UBATIZO WA PRINCE GEORGE ULIVYOKUA
Picha ya Pamoja ya Prince Williams akiwa na Mkewe (kate middleton) Pamoja na Mwanao(prince George) katika ubatizo wa Mtoto wao..Tazma picha zingine hapa chini...
Wednesday, 23 October 2013
EAC YAKUMBWA NA MGAWANYIKO..SOMA HAPA KINACHOENDELEA
Serikali ya Tanzania imekosoa
Muungano mpya wa hiari wa nchi za Kenya,Uganda na Rwanda ulioundwa hivi
karibuni.
Serikali ya Tanzania imeuelezea kuwa
unaenda kinyume na makubaliano katika Jumuiya ya Afrika Mashariki
Tuesday, 22 October 2013
MBUNGE HUYU KAFULIA AU NDO MWANANCHI WA KAWAIDA??
Baada ya kunyang’anywa madaraka , Mbunge huyu wa
zamani wa jimbo la Embakasi Kenya “Waititu” amekua mwananchi wa kawaida na
amekua akitembea bila ulinzi na kuonekana katika hoteli za bei rahisi mwenyewe
katika mawazo mazito tofauti na zamani alivyokua akienda kwenye mahoteli makubwa.. , kitu ambacho wengi wamejiuliza kama kafulia au la.. Tazama
picha hapa chini..
HIZI NDIZO PICHA ZA MASHABIKI WA DIAMOND PLATNUMZ WAKIWA KATIKA MAPOZI NA MAVAZI KAMA YA DIAMOND
Hakika Diamond Platnumz ana
Mashabiki wengi Wanaomkubali na kufuatilia yale afanyayo kuanzia mavazi mpaka
mapozi ya picha zake…Tazama picha hizi zikionyesha Mashabiki hao wakiwa katika
pozi moja na Diamond Platnumz..
VIDEO: HIVI NDIVYO REALITY TV SHOW YA WEMA SEPETU ILIVYOANZA
Tazama intro ya reality
Tv show ya Wema sepetu “In my
shoes” na kwenye hii video Wema ameanza kwa kujielezea yeye ni nani…Tazama
video hapa chini…
Monday, 21 October 2013
NEW VIDEO: LINEX - KIMUGINA
Mmoja wa members wa Kigoma Allstars
anaefanya vizuri kwa industry ya muziki, Linex ameachia video yake nyingine …
KIMUGINA … Linex anasifika zaidi kuwa na
NEW AUDIO: MATONYA - UTATA
Hii ndio
ngoa mpya kutoka kwa MATONYA inayoitwa UTATA..Download na kusikiliza hapa chini…
NILILIPWA DOLA 2,5OO KWA AJILI YA KUMUUA TUPAC SHAKUR- DEXTER ISAAC
Kijana mmoja aneyekwenda kwa jina la Dexter Isaac ambaye anatumikia kifungo cha maisha jela kwa kukutwa na makosa ya kuua na kuteka..ameongea na kusema kua
IRENE PAUL KUOLEWA BILA MAHARI...
Stori: Imelda Mtema...
MKALI wa sinema za Kibongo, Irene Paul amesema wakati wake wa kuolewa ukifika, hatatolewa mahari kama ilivyozoeleka badala yake atachukuliwa bila ya mume
Sunday, 20 October 2013
HAWA NDIO VIJANA WATANASHATI WATAKAOSHINDANA KWENYE MASHINDANO YA "DAR NEXT HANDSOME"
Dar Next Handsome ni Mashindano Ya Vijana
Watanashati zaidi Dar Es Salaam na Mshindi anakwenda Lagos Nigeria kushindana
Kwenye Mr Africa. Vijana hawa sita walienda a FNL kuzungumzia Mashindano Haya...Tazama picha zingine hapa chini..
NEW VIDEO: HEMED PHD - REST OF MY LIFE
Tazama Video Mpya ya Hemedi PhD...Ni bonge moja la video...tazama hapa..
Saturday, 19 October 2013
DR. CHAMELEON AMEONYESHA LOVE KWA MWANAYE..TAZAMA HAPA...
Dr. Jose Chameleon ameonyesha love kwa mwanaye kwa kumpongeza kwa kuchukua mwanamichezo wa mwaka.....tazama alichokiandika katika Akaunti yake ya Facebook..
NEW AUDIO: FID Q feat JUMA NATURE - SIRI YA MCHEZO
Download na sikiliza ngoma mpya kutoka kwa FID Q Ft JUMA NATURE-SIRI YA MCHEZO...
Friday, 18 October 2013
NEW VIDEO: DULLY SYKES -KABINTI SPECIAL
Hii ndiyo video mpya ya Dully Sykes.-kabinti special..itazame hapa chini...
HUU NDIO UJUMBE WA BENPOL BAADA YA AKAUNTI YAKE YA FACEBOOK KUIBIWA NA WAJANJA..
Kama dakika chache zilizopita msanii mahiri wa Bongo Fleva, Ben Pol amelalamika kwamba kuna mtu amefanikiwa kuingia katika account zake zote za Facebook na kuzitumia account hizo visivyo …
Soma maneno ya Ben Pol hapa alicho kiandika katika ukurasa wake wa Twitter ..
MAAJABU: THE ROCK NI MGAHAWA ULIOJENGWA JUU YA MWAMBA BAHARINI HUKO VISIWANI ZANZIBAR
Duniani kuna maajabu mengi,kati ya maajabu hayo ni
huu mgahawa uitwao Rock uliopo visiwani Zanzibar uliojengwa juu ya mwamba
mkubwa katika bahari ya Hindi..
Tazama picha zaidi hapa chini...
TAZAMA PICHA JINSI AL-SHABAAB WALIVYOSHEREKEA USHINDI WAO BAADA YA YALE YALIYOTOKEA NCHINI KENYA
AL-shabaab wameonyesha picha ambazo zimetafsiriwa
kama sherehe ya ushindi kuhusu yaliyotokea Kenya hivi karibuni…Hii ilitokea
siku ya jumanne katika sikukuu ya Eid-al-adha ambayo ilifanyika mjini burawa
huko nchini Somalia…Tazama picha zaidi hapa...
Thursday, 17 October 2013
NICKI MINAJ APOST PICHA NYINGINE ZA NUSU UCHI
Nicki Minaj amepost picha nyingine kwenye akaunti
yake ya instagram ikionyesha maziwa yake…itazame picha hapa chini…
MFUMO WA KUPANGA ALAMA KIDATO CHA 4 NA 6 KUBADILISWA...SOMA HAPA
Ikiwa yamebaki majuma machache wanafunzi wa kidato cha nne waanze mtihani wa wa taifa, Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi iko kwenye mchakato wa
TAZAMA PICHA ZA CHOO AMBACHO WATU HUJUMUIKA NA KULA HAPO (TOILET-RESTAURANT)
Hii ndiyo choo nchini California yenye sehemu ya
kupumzikia ukiwa unakula..choo hiki kilifunguliwa oktoba 11 na ni sehemu
inaovutia hata kwa usafi wake..Tazama picha nyingine hapa chini..
BAADA YA VYAMA VYA SIASA KUMSHAMBULIA..HICHI NDICHO ALICHOKISEMA ZITTO KABWE..
Baada ya vyama vya siasa kumsambulia hichi ndicho
alichokisema Zitto kabwe..Tazama hapa chini...
Wednesday, 16 October 2013
HII NDIYO ISHARA YA VIDOLE INAYOTAMBULISHA KAMPUNI YA DIAMOND PLATNUMZ
Kuna baadhi ya maneno,vitendo majina ama taasis,vinakuwa na ishara zake zinazotoa maana ya neno ama kitu husika,mfano.Ukionyesha ishara ya vidole viwili
ZAMBIA YAAMURU WACHEZAJI WAO KUKAMATWA..TAZAMA HAPA..
Zambia imetoa vibali vya kukamatwa
kwa wachezaji wake watatu waliokosa mechi ya kirafiki dhidi ya Brazil mjini
Beijing China. Hata hivyo Zambia ilishindwa na Brazil mabao mawili kwa nunge..
Tuesday, 15 October 2013
HUU NDIO MTAA ULIOPEWA JINA LA SIR ALEX FERGUSON..
Meneja wa zamani wa Manchester
United, Alex Ferguson amepewa heshima kwa kuzindua mtaa uliopewa jina lake
uliopo karibu na uwanja wa Old Trafford.
TAZAMA MANENO YA "YOUNG D" KUHUSU KULA UNGA...
Nimezaliwa
Dar es salaam.. Mambo kibao nimepitia (+vity100%) ukichangia mazingira
nliyokulia nmejifunza na kuona mambo mengi.. #bangi #pombe hata #sigara
KIJANA AKAMATWA AKIFANYA MAPENZI NA MBUZI...
Kijana
mmoja Nchini Kenya mwenye Umri wa miaka
23 amepelekwa kituo cha polisi huko nyeri kwa tuhuma za kukutwa akifanya mapenzi
na Mbuzi..Inasemekana jamaa
HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEJITEKA NYARA...AMEKAMATWA HUKO NIGERIA
Polisi Kusini Mashariki mwa Nigeria, wamemkamata
mwanamke mmoja aliyejidai kutekwa nyara kama njama ya kupata pesa kutoka kwa
mumewe.
NEY WA MITEGO: MUZIKI SASA UTANITOA ROHO..
Mpaka sasa ney haja sema ni nani na nini
kimepelekea yeye kuandika hivi kuhusu maisha yake ya muziki. Ila inaonyesha
hapa kati amekutana na misuko suko kwenye ,mishe zake, kuchukiwa na
kutokukubalika kunaweza pelekea mtu kusema yote haya...tazama hiyo meseji hapa chini...
Monday, 14 October 2013
HII NDO HISTORIA NYINGINE ANAYOENDA KUFANYA DIAMOND PLATNUMZ OCTOBER 18
Hii ndio history
anayoenda kutengeneza Diamond platnumz… cheki chini hapa..
VIDEO: NICKI MINAJ AKUBALI KUMILIKIWA NA SHETANI..TAZAMA HAPA..
Ni dhahiri kwamba watu wengi walikua wakijiuliza kua Nicki minaj anahusika kwenye dini ya kishetani lakini walikosa uhakika kuhusu ili swala..leo katika Video ya Nicki Minaj amekubali kumilikiwa na shetani… cheki video hapa chini..
TAZAMA PICHA ZAIDI YA 6 ZA MUONEKANO WA STAGE YA TUSKER PROJECT FAME SEASSON 6
Huu ndio muonekano wa
stage ya Tusker Project Fame season 6 ambayo inaonekana kuwa ya kisasa na
imezungukwa na taa nyingi stejini… Tazama picha zaidi ya 7 hapa chini.....
Sunday, 13 October 2013
PICHA ZA CALENDA YA BEYONCE ALIYOTEGEMEA KUTOA HIVI KAIBUNI ZAVUJA MTANDAONI..TAZAMA HAPA...
Hivi karibuni BEYONCE
alidai kua atapiga picha za kwenye Calender yake ambayo ingetoka hivi karibuni
na ingeuzwa dollar 15 kwenye tovuti yake lakini Picha hizo zimevuja na
kuonekana kabla ya kalenda hiyo kutoka…Tazama picha hapa chini..