Msanii mahiri katika ulimwengu wa Bongo Flava maarufu kama Diamond Platnumz, anatarajia kufanya Remix ya wimbo wake ambao unatamba kwa sasa hapa bongo My
Number 1 na msanii mkali kutoka Nigeria Davido mkali
wa Skelewu dance, Davido ambaye aliyekuja kwa ajili ya Serengeti Fiesta Dar Es
Salaam, amekutana na Diamond ambapo kwa sasa wako njiani wanapiga kazi pamoja
na haya ndiyo maneno aliyo post Diamond kwenye akaunti yake ya Instagram …
“I said NGOLOLO Dance, and he said Nah man! SKELEWU Dance… then we decided to put it in a song….and show each other what we gat, we are on tommorow for the new Video #NumberOneRemix”
0 comments :
Post a Comment